Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
Mimi ni simba damu lakini siridhishwi kabisa na namna viongozi wetu na benchi la ufundi wanavyoendesha hii timu... timu yetu imekuwa timu la makelele kwenye mitandao ya kijamii sikuhizi but ukija uwanjani hakuna kitu timu inazidi kuporomoka kiwango kila siku...wakati timu nyingine huwa zinafanya sajili zao kurekebisha sehemu dhaifu sisi simba huwa sajili zetu sijui huwa zinaangalia nini...tukubali tukatae simba sikuhizi kuna bureaucracy sana
 
Back
Top Bottom