Kikosi changu hiki Matola na John Boko wamekivuruga na matokeo wameyaona.
MO Dewji amua Moja.
Kama Nia yako ni kuwachezesha rafiki zako akina John Boko, Santos, Kenedi, Shamte, Nk. Basi tuambie,ili ufulahie chenga twawala basi Sawa.
Toka dakika ya Kwanza tumeshambiliwa na Yanga ila wachezaji wako wali relax tu, Kwa kujiona wanajua.
Kama Nia yako ni kufika mbali na kutengenezaFaida basi, Kwanza Mfukuze kaptain John Boko maana ndiye anayemshauri kocha Nani acheze na Nani abaki, na yeye anajichagua wakati anajua ni mbovu Sana.
Nakishauri MO mwachie timu Jonh Boko, maana Kwanza ana Kiburi na pili yeye ndiye mpangaji wa kila kitu.
Na anaifanya Simba kuwa ni timu yake Binafsi.
Huyo ndiye anaye kuhujumu.




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashukuru sihusiki na kuwalipa Mshahara wachezaji wa Simba. Kama ningehusika ningewalipa Mshahala wachezaji kumi tu.
wachezaji wa Simba SC, endeleeni kuidhalilisha jamii ya Simba,
Iko siku mtalipa madhira yote.
Mtalipa Mtalipa Mtalipa.
Dakia 90 hata goli la Ofside Hamna...!
Mnawafikiria Mahawala zenu tu, ni kama ndio waliowaleta hapo Simba na kuwalipa Mishahara.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ungeingia na wewe ukafunge hilo goli kama mpira ni rahisi hivyo
 
Natangaza rasmi hili jukwaa pia ni la Yanga until further notice, mwanasimba ukionekana hapa utakuwa umevunja kanuni na taratibu..

Cc Shadeeya tunaomba ulisimamie hili
 
Ndugu zangu wanamsimbazi tukubali tunashinda kiujanja ujanja tu na hatuna timu basi tu,mabeki wetu wamezeeka sana,bila mbeleko tungekuwa wa 6 huko,mtani Shadeeya punguza sauti sauti kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…