Ahsante Simba kwa Ushindi mnono
mapungufu niliyoyaona ni haya

Timu inakaba kwenye 18 inaruhusu maadui kucheza wanavyotaka.

Onyango Ni Mzee au nasema uwongo jamani???

Uwezo wa mchezaji mmoja mmoja ndiyo umeibeba timu

Man of the match sijui nimpe chama, kapombe au bwalya miquison atajisikia vibaya lakini naye kajituma

John Bocco ni super sub.

Kwa sasa hivi kuilinganisha Simba na timu yoyote hapa Tanzania na Africa mashariki utakuwa ni mgonjwa wa Akili.

This. Is Simba and mission Accomplished [emoji122][emoji122][emoji122][emoji41][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460]✓
 
Simba rahaaa,stress zote za maisha unakuta zimeisha!Wiki hii nzima full shangwe!Hizi ndio mood za kuombewa hela,yaani mchepuko hapa ukinipiga mzinga natoa kwa wepesi kabisa!
 
Yes!!, Hii ndo Simba....


Manyani wana mengi ya kujifunza kwa Simba hii.....

wasione aibu....Chama, Konde boy na Bwalya....watatoa semina kwa manyani
 
Ndugu Yangu kwa chuki hizi Nina hakika una kamwili kalichokondeana
 
This is simbaaa, utopolo msimu wa mateso umeanza Tena[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
 
Nnn
 
This is Simba and Mission....?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…