Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,786
..Yawezekana Patrick Phiri na Simba wakaingia kwenye Guiness book of the World..Ngoja tupige mechi zote 22 bila droo wala kupoteza.
kwani Simba mpaka hivi leo hajapoteza mechi, aah huyu Phiri basi atakua kocha bora sana.
Basi nenda huko kwenye hilo jukwaa lako, kama limedoda uje utuambie maana hapa tunazungumzia soka wewe unaleta mambo ya painting
Yoyote anayejua radha ya soka hawezi kunikataza kuingia ktk thread ya Simba eti kisa mimi ni nguli wa Yanga.
Ila wasioweza kupiga hata danadana ndo watanikataza kuingia ktk thread hii...
YANGA DAIMA MBELE...
NYUMA SIMBA

Huna kiburi cha kunikataza kuingia na kuyafichua machafu yenu.
Narudia tena kapakeni rangi jengo lenu na kisha mtengeneze vyoo watu waache kunyakunya kwenye vifuko vya plastick na kuvitupa kwenye mitaro.
YANGA DAIMA MBELE...
NYUMA SIMBA
Mkuu you are right....Simba nyumba, Yanga mbele....
Simba siku zote yupo mgogoni kwa Yanga.🙂
Mkuu you are right....Simba nyumba, Yanga mbele....
Simba siku zote yupo mgogoni kwa Yanga.🙂
kivipi?huna source. huna details. unaongea tu. weka source hapa.
Mkuu nisome vizuri.....sijamaanisha 'excactly what is said'.
Mkuu nisome vizuri.....sijamaanisha 'excactly what is said'.
yaani simba anampumulia mgongoni yanga
Mkuu nisome vizuri.....sijamaanisha 'excactly what is said'.
Yoyote anayejua radha ya soka hawezi kunikataza kuingia ktk thread ya Simba eti kisa mimi ni nguli wa Yanga.
Ila wasioweza kupiga hata danadana ndo watanikataza kuingia ktk thread hii...
YANGA DAIMA MBELE...
NYUMA SIMBA
yani hapo una maana simba anapumulia kisogo cha chomba? sorry i mean cha yanga?
Hili kaliandika Gang Chomba...si tumemuunga mkono tu!
Inshallah..........Wakuu leo tunakipiga na kagera sugar(away)
hope tutaendeleza kichapo kama ilivyo ada.