Chimunguru
JF-Expert Member
- May 3, 2009
- 10,678
- 4,370
sema raizoni sio lapa.Hamna, lapa tu ndio lenye mashabiki hapa nchini.
Hivi kuna watu bado wanashabikia timu ya simba?
Tbc Taifa wanaitangaza(audio).Dakika inaelekea ya 40 bila bila mpaka sasa Simba tunaposess zaidi ila finishing ndo bado tunaonekana hatujatulia.