Jaluo_Nyeupe
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 2,824
- 2,264
Atacheza na nani?Simba amepata nafasi ya kucheza kombe la Caf ijapokuwa ametolewa,
Atacheza na nani?
Atacheza na timu ya Congo. Majina yao magumu sijui inaitwa Motema vileee.Atacheza na nani?
Basi tumetoka maneno mengi mno
Atacheza na nani?
Nina huzuni kubwa.
Atacheza na nani?
Nimeelewa!!Timu zinazotolewa raundi ya tatu kwenye kombe la vilabu bigwa africa zinakuwa moja kwa moja zinaenda kushiriki kombe la Caf, kam haujelewa kuchulia mfano wa kombe la Europa ndogo.
Pole kwa Simba kuchapwa,pole pia kwa Man u kuchapwa na Barcelona,nadhani leo hautolala na inavyoonyesha wewe ni mwenyeji wa mkoa wa Mwanza ambao pia leo wamelikosa kombe la Taifa kwa kuchapwa na Mbeya.Pole sana najua leo umelia sana kama kawaida yako.simba wamenifanya ni-freeze /bye bye/ dah, wacha nisubiri next match labda man watahamsha furaha yangu