Yaani maanake mliolewa hiyo tarehe nane march. Mnyera fc mnafurahisha.Mume shoga bwana kaoa tar 8 siku chache mbele KAOLEWA na KIJANA WA KINONDONI HATAR
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani maanake mliolewa hiyo tarehe nane march. Mnyera fc mnafurahisha.Mume shoga bwana kaoa tar 8 siku chache mbele KAOLEWA na KIJANA WA KINONDONI HATAR
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi salaam zilifika au zilipotea njia?Tumuue Azam leo ili salama zifike pale dampo
Ahaha, chama cha wananchi CUF? We kweli HamnazoHabari .
Cuf wameipa timu yetu ya simba sifa kubwa za kidunia kama timu iliyopata comeback kubwa ktk mashindano yanayotambuliwa na FIFA.Hii ni heshima kubwa simba na wanasimba wote duniani.
Hali hii imeongeza mapato na faida kwa timu.Nina maoni kama shabiki wa Simba hivi tumeshindwa kukusanya hata milioni 10 tuwatafute wachezaji wa wakati huo tuwape sapraizi hata ya laki 8 kila mtu ili wajisikie vyema kwa mchango wao kwa timu yetu.
Wengine wamekufa lakini wengine bado wapo hao tu wanatosha kuwakilisha waliotangulia mbele ya Haki.
Tuna wanachama wengi na mdhamini yupo hivyo viongozi kaeni muone jinsi ya kuboresha promo hii waliyotuanzishia CUF Africa.
Mara zote kumbukizi huongeza baraka sana kwa mtu ni vema tukawa watu wa kukumbuka watu waliotufikisha hapa tulipo na timu yetu bila kumsahau balozi wa tz zambia wa wakati huo alifanya kazi ya ziada.
Tupo tayari kuchanga kwa hiyari na amani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Manara alisema ninyi ni minyero United,mzee Rage aliwaita mbumbumbu FC. Ona sasa siku hizi chama cha siasa CUF kinajihusisha utoaji wa sifa za kidunia ktk michezo. Mwenyekiti ni huyuhuyu Lipumba ama!? Halafu hizo habari uliziona kwenye website ipi kama hukudanganywa tu kwenye vijiwe vya kahawa!?Habari .
Cuf wameipa timu yetu ya simba sifa kubwa za kidunia kama timu iliyopata comeback kubwa ktk mashindano yanayotambuliwa na FIFA.Hii ni heshima kubwa simba na wanasimba wote duniani.
Hali hii imeongeza mapato na faida kwa timu.Nina maoni kama shabiki wa Simba hivi tumeshindwa kukusanya hata milioni 10 tuwatafute wachezaji wa wakati huo tuwape sapraizi hata ya laki 8 kila mtu ili wajisikie vyema kwa mchango wao kwa timu yetu.
Wengine wamekufa lakini wengine bado wapo hao tu wanatosha kuwakilisha waliotangulia mbele ya Haki.
Tuna wanachama wengi na mdhamini yupo hivyo viongozi kaeni muone jinsi ya kuboresha promo hii waliyotuanzishia CUF Africa.
Mara zote kumbukizi huongeza baraka sana kwa mtu ni vema tukawa watu wa kukumbuka watu waliotufikisha hapa tulipo na timu yetu bila kumsahau balozi wa tz zambia wa wakati huo alifanya kazi ya ziada.
Tupo tayari kuchanga kwa hiyari na amani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe chura umefuata nini kwenye uzi wa mnyama wakati Nugaz amewaambia musimame kuadhimisha mwezi mmoja toka mulipoifunga Klabu bora zaidi Afrika Mashariki.Manara alisema ninyi ni minyero United,mzee Rage aliwaita mbumbumbu FC. Ona sasa siku hizi chama cha siasa CUF kinajihusisha utoaji wa sifa za kidunia ktk michezo. Mwenyekiti ni huyuhuyu Lipumba ama!? Halafu hizo habari uliziona kwenye website ipi kama hukudanganywa tu kwenye vijiwe vya kahawa!?
cuf ya lipumba hii ninayoijua mm au cuf ipi,,,?Habari .
Cuf wameipa timu yetu ya simba sifa kubwa za kidunia kama timu iliyopata comeback kubwa ktk mashindano yanayotambuliwa na FIFA.Hii ni heshima kubwa simba na wanasimba wote duniani.
Hali hii imeongeza mapato na faida kwa timu.Nina maoni kama shabiki wa Simba hivi tumeshindwa kukusanya hata milioni 10 tuwatafute wachezaji wa wakati huo tuwape sapraizi hata ya laki 8 kila mtu ili wajisikie vyema kwa mchango wao kwa timu yetu.
Wengine wamekufa lakini wengine bado wapo hao tu wanatosha kuwakilisha waliotangulia mbele ya Haki.
Tuna wanachama wengi na mdhamini yupo hivyo viongozi kaeni muone jinsi ya kuboresha promo hii waliyotuanzishia CUF Africa.
Mara zote kumbukizi huongeza baraka sana kwa mtu ni vema tukawa watu wa kukumbuka watu waliotufikisha hapa tulipo na timu yetu bila kumsahau balozi wa tz zambia wa wakati huo alifanya kazi ya ziada.
Tupo tayari kuchanga kwa hiyari na amani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo lipumba so shabiki wenu au hukumwona mwanza mlivyokuwa mnakojolewa na wamisriManara alisema ninyi ni minyero United,mzee Rage aliwaita mbumbumbu FC. Ona sasa siku hizi chama cha siasa CUF kinajihusisha utoaji wa sifa za kidunia ktk michezo. Mwenyekiti ni huyuhuyu Lipumba ama!? Halafu hizo habari uliziona kwenye website ipi kama hukudanganywa tu kwenye vijiwe vya kahawa!?
Manara amewaita tena Mazuzu[emoji2]Wewe chura umefuata nini kwenye uzi wa mnyama wakati Nugaz amewaambia musimame kuadhimisha mwezi mmoja toka mulipoifunga Klabu bora zaidi Afrika Mashariki.
Itakuwa hiyohiyo Mkuu!
Safi kwa Chama kubwaHabari .

Huo ni wivu tu