Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
Onyango anacheza vizuri hapa anampasia Kapombe, Kapombe anakwenda anamuachia Mkude, Mkude nini anapoteza pale...
 
Anakwenda kapombeee nini? Anataka kupiga chenga lakini anakataliwa na mlinzi wa Namungo.
 
Back
Top Bottom