Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
Marefa wa Tanzania kiwango chao kipo chini sana bado. Uwezo mdogo sana. Kwa mfano jana Ihefu imenyimwa goli la wazi kabisa kwa kusema ni offside
Mbona huzungumzii na lile alilonyimwa Kagere?
 
Simba kama Simba kwa umoja wetu TUMFUTE UANACHAMA KIGWANGALA, anatuharibia kwa MO, sisi tuntaka ushindi tu, mambo ya 20 bilion hayatuhusu, tunataka burudani tu.
 
*Ukitaka kuona Simba wanachanganyikiwa basi wasikie refa anasema haya "Leo jitahidini mshinde wenyewe kwa jitihada zenu!"*
 
Tuliposema hatutoi kibali cha Morrison nadhani hamkuelewa. Sisi tumeshikilia kibali chetu cha Sumbawanga, Tanga na Bagamoyo... Nyie mbaki na kibali chenu feki mlichopewa na TifuaTifua(TFF) muone kama huyo Nguchiro atacheza msimu huu.... HATUTOI KIBALI CHA MORRISON KUCHEZA . Mashitaka yetu yalishafika makao makuu ya FIFA kule Sumbawanga. Pia tumeshitaki mahakama za CAS kule Bagamoyo
 
GOOOOOO.... SIMBA 2-1 MTIBWA... dakika ya 99 hapa Barbarason Gonzalez anafunga bao la ushindi... Krosi safi kabisa kutoka kwa Hashimu Rungwe Ubwabwa Kigwangallaha mabodaboda
Screenshot_20200912-215446.jpg
 
Back
Top Bottom