popie
JF-Expert Member
- May 28, 2016
- 801
- 577
Mbona huzungumzii na lile alilonyimwa Kagere?Marefa wa Tanzania kiwango chao kipo chini sana bado. Uwezo mdogo sana. Kwa mfano jana Ihefu imenyimwa goli la wazi kabisa kwa kusema ni offside
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona huzungumzii na lile alilonyimwa Kagere?Marefa wa Tanzania kiwango chao kipo chini sana bado. Uwezo mdogo sana. Kwa mfano jana Ihefu imenyimwa goli la wazi kabisa kwa kusema ni offside
Yanga Makombe yote FA, VPL, MAPINDUZI CUP Nyie mnaonewa tu sio?Kwa staili hii sikupingi naona unaweza ukachukua tena ubingwa kwa staili ile ile
Kashangilie mumeshinda huko Jamhuri.Simba kama Simba kwa umoja wetu TUMFUTE UANACHAMA KIGWANGALA, anatuharibia kwa MO, sisi tuntaka ushindi tu, mambo ya 20 bilion hayatuhusu, tunataka burudani tu.
Hivi FA si mlikuwa mmeshampa Mzee Morrison midolali elfu 5!?Yanga Makombe yote FA, VPL, MAPINDUZI CUP Nyie mnaonewa tu sio?
Mmeshabweka?Nyie mikia mmeona kabumbu uko uwanja wa Mkapa
Tumeshawachapa tawi lenu la Mbeya uko sasa tunawataka nyieMmeshabweka?
Kabumbu la kumfunga moja MBEYA CITY waulize KMCNyie mikia mmeona kabumbu uko uwanja wa Mkapa
Tunasikia mama yako mzazi kawaokoa leo? KMC 4 - 0 MBEYA CITY. Weka ya Yanga na mbeya city sasa tujadiliGOOOOOO.... SIMBA 2-1 MTIBWA... dakika ya 99 hapa Barbarason Gonzalez anafunga bao la ushindi... Krosi safi kabisa kutoka kwa Hashimu Rungwe Ubwabwa Kigwangallaha mabodabodaView attachment 1568083
Hhahaha nyie mikia F.C mtakoma kutujua safari hii.
Utopolo nani kawaleta kwenye huu uzi wetu?Kashangilie mumeshinda huko Jamhuri.
Kwa lipi sasa..?Hhahaha nyie mikia F.C mtakoma kutujua safari hii.