Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
Aisee 8 years of career mbona inaelekea kubaya tena ?

Mara nyingi wasipotaja tatizo, unakuta tatizo lenyewe ni kubwa zaidi, au ni la aibu, au ni mgongano wa kimaslahi.

Ngoja tuone watamalizaje, I hope busara zitatumika.
 
Mara nyingi wasipotaja tatizo, unakuta tatizo lenyewe ni kubwa zaidi, au ni la aibu, au ni mgongano wa kimaslahi.

Ngoja tuone watamalizaje, I hope busara zitatumika.
Sure I hope watalimaliza kikubwa.

Jamaa kaitumikia klabu kwa mafanikio miaka 8 mpaka sasa.

Natamani akae simba mpaka atakapostaafu soka tu.
 
Hivi ndo msimamo ulivo mpaka wakati tunapoelekea mwisho kabisa mwa 2020. Hutaki kameze tikiti maji
Screenshot_20201231-212014.png
 
Back
Top Bottom