Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
YANGA BWANA! yaani wewe nyumba yako ikiungua unaombea na ya jirani yako nayo iungue!
 
YANGA BWANA! yaani wewe nyumba yako ikiungua unaombea na ya jirani yako nayo iungue!

Nakuambia acha tu mkuu.....

By the way,kuna mdau yeyote wa simba yuko uwanjani atupe updates?maanke naona mtani anataka kuturusha roho sasa
 
Hawa ya jamaa inabidi tuwa fungunge kama 3 hivi vinginevyo hukokwako itakuwa kazi kuwatoa
 
Mnnh hapa sasa kwa kweli hapanifwai...yebo yebo anataka kuharibu siku yangu mapemaaa......
 
Nyagawa anakosa bao la wazi akiwa hatua chache golini baada ya krosi murua ya Juma Jabu, mshambuliaji wa waarabu anaangushwa eneo la hatari la Simba ila refa anapeta
 
mtani leta updates bwana,hata kama uko biased kiasi gani..........acha hasira
 
Back
Top Bottom