Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
Na mpira umekwisha Simba wanatoka kifua mbele 2-1 hongereni watani mecheza game la ukweli
Thanks alot kwa kutuletea matokeo live .Kuna mahali nilikua nimekata tamaathough but ulikija kurudi ktk line ya uzalendo

Hongera pia,simba sasa wajipange fresh coz jamaa wanahitaji bao moja kwa sifuri ili kusonga mbele

Bravo Simba SC,heshima ya Tanzania imesimama leo
 
tUJIPONGEZE KUPATA USHINDI LAKINI TUNA HITAJI KAZI YA ZIADA MAANA HAWA JAMAA WAMEONEKANA WANA UWEZO MKUBWA..
 
Warabu jikazeni, watani wetu hawa msimu huu wamebahatisha tena tumekuwa hatuna raha, na leo ndo usingizi huo unayeyuka.
 
tunaweza kuwafanyia hata huko kwao bana ,naliamini TAIFA KUBWA,simba hoyeeeee
 
kwanza napenda kuwapa hongera wacheZaji wa Simba kwa ushindi uliopatikana leo,najua kazi itakuwa ngumu sana ugenini lakini lazima ifahamike simba ndio baba ya soka ya tanzania na tutawaonyesha maajabu yetu kama walivyowahi shangazwa mufulira wanderers mwaka 1979,zamalek 2003 na lengthens 2010
 
Hongereni watani kwa ushindi...safi sana,nina imani nanyi kwa kweli,mtawachapa hawa jamaa ama kutoka nao sare 2nd leg na kutupitilia nje hawa jamaa....Go Simba go...........you deserve it,mna timu nzuri sana kwa kweli.....Hongereni sana watani
 
Warabu jikazeni, watani wetu hawa msimu huu wamebahatisha tena tumekuwa hatuna raha, na leo ndo usingizi huo unayeyuka.

Hapana,hawajabahatisha mkuu...Simba wana timu nzuri sana na pia wanaye kocha mzuri-PHIRI...Wanastahili mafanikio mkuu
 
Na mpira umekwisha Simba wanatoka kifua mbele 2-1 hongereni watani mecheza game la ukweli

Shukran kwa live updates. Ushindi mechi ya nyumbani ni muhimu, na tumeupata. Cha muhimu ni wajipange vizuri tutafute goli la ugenini mechi ya marudiano
 
SIMBA ni kinara wa record kataika soka hapa Tanzania:

Hajawahi fungwa na mwarabu hapa nyumbani (Algeria na Misri)
Amecheza fainali ya CAF
Ni kinara wa kutwaa klabu bingwa CECAFA
Wa Kwanza kuondoa timu ya Misri
Ametwaa ligi kuu bila kupoteza mechi!!
Unataka zaidi...haaa! Mfurira walifungwa kwao kwao 5 bila baada ya kujifanya wababe hapa kwetu

HIYO NDIYO SIMBA NAIJUA MIMI!!
 
Warabu jikazeni, watani wetu hawa msimu huu wamebahatisha tena tumekuwa hatuna raha, na leo ndo usingizi huo unayeyuka.
duh, kweli uchawi si lazma abebe tunguri... utashangaa tutakavyofanya mechi ya marudiano
 
SIMBA ni kinara wa record kataika soka hapa Tanzania:

Hajawahi fungwa na mwarabu hapa nyumbani (Algeria na Misri)
Amecheza fainali ya CAF
Ni kinara wa kutwaa klabu bingwa CECAFA
Wa Kwanza kuondoa timu ya Misri
Ametwaa ligi kuu bila kupoteza mechi!!
Unataka zaidi...haaa! Mfurira walifungwa kwao kwao 5 bila baada ya kujifanya wababe hapa kwetu

HIYO NDIYO SIMBA NAIJUA MIMI!!
Ni kweli kabisa. Lakini, all except one of of the above "achievements" haziko tangible (in red). There's no point of having a whole bunch of useless stats without having anything to show for it (trophies!) - you remind me of our Maximo and our Taifa Stars' miseries since he was appointed coach = zero silverware.

Incase umesahau........YANGA:
  1. ni timu pekee ya Tanzania kuchukua ubingwa wa CECAFA mara 2 nje ya ardhi ya TZ;
  2. ndiyo vinara wa soka katika historia ya TZ - imechukua ubingwa wa TZ mara 5 zaidi ya mpinzani wake anayemfuata kwa karibu (mind you the best teams on the planet historically are those with the highest number of domestic championship silverware - ask Ferguson, Wenger, any Kop faithful myself included (count out Rafa Benitez of course!)).
  3. (ingawa this is intangible) ndiyo timu ya kwanza kuitoa TZ tongotongo kuingia hatua ya juu ya the modern AFC Champions League;
I respect Simba and their achievement. I particularly adore their current brand of football, but you guys (fans) should always remember to come down to earth when it comes to comparing yourselves with YANGA....YANGA has always had an edge over SIMBA when it comes to overall tangible achievements which is what all counts in the end. SIMBA has got some catching up to do apparently.

Sorry for invading your forum but I just wanted you guys kuwa na heshima kidogo. Mtoto kwa mama hakui!!
 
I dont see any points in your claims...you better refer the CAF rankings for clubs before making an attempt to compare Yanga and Simba...how do you compare an ant to a sheep, come on guy, come of your age!!!
 
Back
Top Bottom