Simba tafuteni wachezaji vijana timu inawafia hii

Simba tafuteni wachezaji vijana timu inawafia hii

Wazee wenyewe ndio hawa.

IMG-20210926-WA0000.jpg
 
Ina maana wachezaji wa Simba ndio hawa tu?
.... hao kina Sakho, Banda, Kanoute nao ni wazee?
 
+5 years margin error, hivi huyu Boko kaipandisha Azama akiwa na miaka 16? maana toka 2007 namsikia Azam baada ya kupanda hawa wakapimwe meno unaweza kuta watu wako 40 huko plus.
Siku ya simba day eti wanasema alikuwa na miaka 27 Hawa jamaa wanachekesha kweli .

Pia wanasema onyango eti ana 29 hahahhahaahaha!!!!😂😂😂😂😂😂😂
 
Siku ya simba day eti wanasema alikuwa na miaka 27 Hawa jamaa wanachekesha kweli .

Pia wanasema onyango eti ana 29 hahahhahaahaha!!!!😂😂😂😂😂😂😂
Mchezaji akidanganya umri basi soka litamuumbua
 
Naona kipofu kaona mwezi. Raha mliyopata Jana tulikuwa tukipata 4 yrs.
 
Back
Top Bottom