Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
hizi vitu ndio huwa vinawaangamiza mpira ufundi na sio uchawi!
Ahahahahahha daaah...hizi vitu ndio huwa vinawaangamiza mpira ufundi na sio uchawi!
kuandika sio kuongea!Ahahahahahha daaah...
Hiyo umeongea kwa hisia sana mkuu
Wengine wanafungua nyuzi saa 6 usiku na game inapigwa saa 10 jioni au 1 usiku. Sijui hizi akili za sekondar JF memberz tumeziokotea wapi, nakuunga mkono nyuzi LIVE matches zifunguliwe 6 hours before kick off time.Mods futeni huu Uzi. Haiwezekani sahivi saa 11 jioni jumatano tunawekewa updates za game itakayochezwa kesho alhamis saa 1 usiku. Hata updates zitakuwa unrealistic.
Wekeni kanuni walau nyuzi kama hizi zifunguliwe 6 hrs before game.
Picha za kesho zimevujaaa🙌😂💚💛🔥Tukutane fainali 💚💛 Cc ephen_ View attachment 3063903
Huu Uzi sio wa update mkuu uwe unajua kutofautisha Cc ephen_Wengine wanafungua nyuzi saa 6 usiku na game inapigwa saa 10 jioni au 1 usiku. Sijui hizi akili za sekondar JF memberz tumeziokotea wapi, nakuunga mkono nyuzi LIVE matches zifunguliwe 6 hours before kick off time.
Kabisa bao la 7 hiloo😎Picha za kesho zimevujaaa🙌😂💚💛🔥
Ngoja nikuelimishe mkuu Uzi wa update unakuwa na jina la kiwanja cha mechi husika na mda Cc ephen_Unabishana na alichoandika mtoa mada. Rudi kwenye Uzi wake usome vizuri.
Mbona betipawa ipo Cc ephen_Wakuu hii mechi mbona haipo kwenye kampuni za betting?
HaipoMbona betipawa ipo Cc ephen_