Simba Vs Yanga Ngao ya Jamii 08/08/24 anakufa mtu

Simba Vs Yanga Ngao ya Jamii 08/08/24 anakufa mtu

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
7,926
Reaction score
17,030
Hili ni Pambano jepesi kwa Yanga. Ushindi upo wazi kabisa wala hauna ukakasi. Wa magoli mangapi ndo hatujajua. Lakini zilikuwa ziwe 3 Yanga 0 Simba. Naona mpambano bado ni mkali.

Nitaendelea kuwaletea updates hapa kuanzia muda huu. Makomandoo kwa hii siku ya leo 07/08 wapo Uwanjani kurekebisha mazingira. Yakae sawa. Hawa Simba ni wetu kabisa.

Vikosi tunawaletea hapa ndani ya masaa kadhaa mpaka hiyo kesho.
 
images (11).jpeg

Yanga zuchuuuu tuu
Wachumbaa haooo
Alafu wepesiiiiii
 
Mods futeni huu Uzi. Haiwezekani sahivi saa 11 jioni jumatano tunawekewa live updates za game itakayochezwa kesho alhamis saa 1 usiku. Hata updates zitakuwa unrealistic.

Wekeni kanuni walau nyuzi kama hizi zifunguliwe 6 hrs before game time.
 
tulishasema palepale kwenye mshono ndo tutakapopapiga!,kazi ameturahisishia sandaland maana kesha wapa sanda!. #HATUSAFIRISHI.
 
Mods futeni huu Uzi. Haiwezekani sahivi saa 11 jioni jumatano tunawekewa updates za game itakayochezwa kesho alhamis saa 1 usiku. Hata updates zitakuwa unrealistic.

Wekeni kanuni walau nyuzi kama hizi zifunguliwe 6 hrs before game.
Wengine wanafungua nyuzi saa 6 usiku na game inapigwa saa 10 jioni au 1 usiku. Sijui hizi akili za sekondar JF memberz tumeziokotea wapi, nakuunga mkono nyuzi LIVE matches zifunguliwe 6 hours before kick off time.
 
Wengine wanafungua nyuzi saa 6 usiku na game inapigwa saa 10 jioni au 1 usiku. Sijui hizi akili za sekondar JF memberz tumeziokotea wapi, nakuunga mkono nyuzi LIVE matches zifunguliwe 6 hours before kick off time.
Huu Uzi sio wa update mkuu uwe unajua kutofautisha Cc ephen_
 
Shindwa kwa Jina na damu ya Yesu kristo na utabiri wako na tunabatilisha utabiri wako wa kishetani kwa jina la Yesu kristo wa Nazeth..Shindwa kwa Jina Yesu na utabiri wako.Tunanyunyiza damu ya Yesu kristo kwenye utabiri wako na kubatilisha.
 
Back
Top Bottom