Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
ThibitishaKatika kila watanzania Watano, watatu ni mashabiki wa Simba na wawili ni washabiki wa Yanga.
Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
Mbeya City FC je?Yanga ndio alama ya utanzania
Ni tunu na fahari ya taifa
Mrs Mbeya City, demu wa Mtibwa hana maajabuSimba SC,, mfalme wa nyika,, mnyama pekee hapa Bongo anayetisha na mwenye historia kimataifa hadi mataifa wanaogopa kukutana naye!!
Huwezi kumfananisha na wenye jezi za CCM aka utopolo,, bendi iliyojaa wakongoman!!
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Tulia wewe,,, Yanga mfanyakazi wa ndani ( House Girl), yeye anajikongoja kurekebisha mapishi ya ndan ndo maana baada ya muda mrefu kutoliona kombe la ligi Sasa mnajipa moyo,,Mrs Mbeya City, demu wa Mtibwa hana maajabu
View attachment 2092368
simba sports club ni timu iliyoanzishwa mwaka 1936 jijini Dar es Salaam, Kariakoo mtaa wa Msimbazi.
View attachment 2092379
Yanga Sports Club ndio Club kongwe kabisa nchini na ndio mabingwa wa kihistoria.
Club hii yenye makao yake Kariakoo mtaa wa Jangwani na Twiga ilianzishwa mwaka 1935
Acheni kuilinganisha Yanga na mambo ya kijinga