Smith Rowe
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 4,319
- 9,003
simba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa statistics zip mpaka umlinganishe Simba ,, (Timu pekee alama ya soccer la Tanzania huko Duniani) na magalasa hayo mautopwinyo??Acheni kuilinganisha Yanga na mambo ya kijinga
Good observationHapa JF na socio media zote wamejaa Simba. Lkn nadhani overall bado Yanga wamezidi kidogo huko mitaani. Mahidhulio ya mechi za Yanga mikoani ni makubwa sana. Sema Vijana wadogo ndo wanakuja kuongeza fanbase ya Simba hapo baadae
Yanga na rangi yake ilishakuwepo tangu miaka ya 1930's! Huo uchafu unaoitwa ccm, ulianzishwa mwaka 1977!Yanga. Li timu la CCM. Jezi zao zote rangi ya CCM. Unaanzaje kushabikia litimu la hivi kama wewe ni mwanamageuzi?
Piga kura kwanza ili uthibitishe hiki ulicho kisema. Wakati napiga kura, Yanga ilikuwa ikiongoza kwa 52% huku timu yako ikifuatia kwa 48%.Hapa JF na socio media zote wamejaa Simba. Lkn nadhani overall bado Yanga wamezidi kidogo huko mitaani. Mahidhulio ya mechi za Yanga mikoani ni makubwa sana. Sema Vijana wadogo ndo wanakuja kuongeza fanbase ya Simba hapo baadae
ushaambiwa Yanga inavaa jezi rangi ya CCM unatakiwa uwelewe basi mtani mbona mkaidi ivyo![emoji23]Yanga na rangi yake ilishakuwepo tangu miaka ya 1930's! Huo uchafu unaoitwa ccm, ulianzishwa mwaka 1977!
Hivi kuna mtu, timu, nchi, au kitu chochote kile chenye umiliki wa rangi kweli! Acha upotoshaji bhana!
Kwa hiyo Kassim Majaliwa, Job Ndugai, Tulia Ackson, na makada lukuki wa ccm, nao ni mashabiki wa Yanga siyo!
Yaani nitapinga mpaka mwisho! Kama ni hivyo na simba nayo basi itakuwa ni timu ya chama cha Lipumba cha CUF iliyo anzishwa mwaka 1992! Maana na wenyewe wanavaa sare zenye rangi nyekundu!!ushaambiwa Yanga inavaa jezi rangi ya CCM unatakiwa uwelewe basi mtani mbona mkaidi ivyo![emoji23]
Ila vip mtani,, jezi yenu haireflect uCCM,, njoo Msimbazi Bwana wee upate Radha ya kimataifa yenye raha,,Yaani nitapinga mpaka mwisho! Kama ni hivyo na simba nayo basi itakuwa ni timu ya chama cha Lipumba cha CUF iliyo anzishwa mwaka 1992! Maana na wenyewe wanavaa sare zenye rangi nyekundu!!