Simba vs Yanga: Timu ipi ina wapenzi wengi hapa JamiiForums?

Simba vs Yanga: Timu ipi ina wapenzi wengi hapa JamiiForums?

Je wewe ni Simba au Yanga?


  • Total voters
    81
Ilifaa iwe hivii
Yule wa kwwnza angeandika either yanga1 au simba 1 afu unaefuata una quote kwa kuangalia namba ya juu
Sas hapa unapataje idadi!


Anyway DAR YOUNG AFRICA
 
Nimehesabu hadi Sasa Yanga 56 simba 16
 
Humu ni ushabiki tu ndio unatawala lkn kama unataka kupata jibu la swali lako basi rudi kwenye basics na uangalie historia ya uanzishwaji wa hivi vilabu ndio utapata ukweli, haya mengine ni porojo tu.
 
Pamoja na simba kuwa Bingwa msimu uliopita na Kufika robo fainali cafcl, bado YANGA ndio timu iliongoza kwa kutazamwa uwanjani,kwa mujibu WA takwimu za tff.
So far, we are many, we are best.
Dar Young African 💪💪
 
Na ukiona mwanaume anashsbikia eti Yanga ujue kuna shida mahala fulani.

Wanaume wote wanajiita Simba,Mamba,Tiger,Chui,Nyangumi,Tembo,au Tai.Sasa ukikuta mwanaume anajiita mi mtoto(young),ama mi yellow,chocolate color,pink lazima uwe na mashaka naye.

Sio ajabu lakini kwa kabwili fc
Ni mawazo yako tu hivyo viumbe vyote ulivyo taja vina majike pia kuna Simba jike, Mamba,chui and so on
 
Back
Top Bottom