Simba vs Yanga: Timu ipi ina wapenzi wengi hapa JamiiForums?

Simba vs Yanga: Timu ipi ina wapenzi wengi hapa JamiiForums?

Je wewe ni Simba au Yanga?


  • Total voters
    81
Yaani nitapinga mpaka mwisho! Kama ni hivyo na simba nayo basi itakuwa ni timu ya chama cha Lipumba cha CUF iliyo anzishwa mwaka 1992! Maana na wenyewe wanavaa sare zenye rangi nyekundu!!
sawa tu tugawane basi Simba ya cuf alafu Yanga ccm[emoji23][emoji23]
 
Tukilinganisha na familia,Simba ni baba Yanga ni mama.Mtawala wa ndani ni mama.
Baba ni mtafutaji.Kila mwanaume nje anamuogopa.Ana rekodi ya kuwapiga wababe.Sasa mama kelele nyiingi ila zihaishia hapa hapa ndani.Nje baba atafanya kazi yake
 
IMG-20220123-WA0003.jpg
 
Na ukiona mwanaume anashsbikia eti Yanga ujue kuna shida mahala fulani.

Wanaume wote wanajiita Simba,Mamba,Tiger,Chui,Nyangumi,Tembo,au Tai.Sasa ukikuta mwanaume anajiita mi mtoto(young),ama mi yellow,chocolate color,pink lazima uwe na mashaka naye.

Sio ajabu lakini kwa kabwili fc
Yanga, daima mbele nyuma mwiko!
 
  • Thanks
Reactions: 7ve
Back
Top Bottom