NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
sawa tu tugawane basi Simba ya cuf alafu Yanga ccm[emoji23][emoji23]Yaani nitapinga mpaka mwisho! Kama ni hivyo na simba nayo basi itakuwa ni timu ya chama cha Lipumba cha CUF iliyo anzishwa mwaka 1992! Maana na wenyewe wanavaa sare zenye rangi nyekundu!!
Ambao aliyekuwa Kocha wenu Luc Eymael ( Raia wa Ubelgiji ) alisema / aliwaita ( hata YouTube ipo ) kuwa ni Nyani, Mbwa na Sokwe?Yangala [emoji123][emoji3577][emoji172]
Yanga, daima mbele nyuma mwiko!
sehemu ya kupigia kura iko wapi sasaView attachment 2092368
simba sports club ni timu iliyoanzishwa mwaka 1936 jijini Dar es Salaam, Kariakoo mtaa wa Msimbazi.
View attachment 2092379
Yanga Sports Club ndio Club kongwe kabisa nchini na ndio mabingwa wa kihistoria.
Club hii yenye makao yake Kariakoo mtaa wa Jangwani na Twiga ilianzishwa mwaka 1935
Katika kila mashabiki wawili 10 wa mpira Tanzania,,,,7 ni wananchi.Katika kila watanzania Watano, watatu ni mashabiki wa Simba na wawili ni washabiki wa Yanga.