Club ina pande mbili yaani wanachama na mwekezaji so mwekezaji atafanya upande wake na sisi wanachama na mashabiki inabidi tufanye tena kwa ukubwa zaidi ya mwekezaji na hatujalazamishwa tumetaka sisi kufanya.Tatizo Simba hatuna uzoefu wa kuchangia, walituaminisha club ya matajiri iweje mtuletee bakuli. Sisi furaha tu mambo ya mchango toeni ninyi.
Bakhresa ni mmliki pekee simba ina umiliki wa mwekezaji na wanachamaBAKHRESA hakuhitaji michango na alifanya kimyakimya.
Huo ndo ukweli mchungu mnaendeshwa na hisia ambazo mwisho wa siku zitawagharimu wenyewe.Bado hujajifunza semi?Kupanga ni kuchagua huku unabinyabinya!
Bakhresa ile Azam FC ni yake na Simba SC ni mali ya wanachama lazima ujue kutofautisha, hivi unadhani kama kama timu ingekuwa yake angeshindwa kujenga?BAKHRESA hakuhitaji michango na alifanya kimyakimya.
Yaani bora MO yeye ametoa mchango 2b kuliko mwingine 2b yeye anataka kudhamini Ligi Kuu kwa Timu 16.Jamaa mjanja Sana, kasha wakimbia tayari. Yaani uwanja wa watu 30, 000/= unao karibia thamani ya 40 bilion unachangia 2 bilion kweli?
Sasa hapo hatujajua gharama zake. Bora wajenge kama chamazi. Bil 7.ule wa gwambina si walijenga kwa bilioni 1.?
au wanataka kujenga Kama ile ya ulaya
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji2][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23]Waweke namba ya account nitupie elfu 50 chap..... LAKINI UAMINIFU NI MTAJI... mkizila nawaloga.
Kwani GSM ni mwanahisa wa Yanga?Nitachangia elfu 5 hongera sana Mo iyo bilioni mbili kuna mmoja aliweka kwenye ligi mwaka mzima na hata uwanja wa mazoezi wa timu yake hana
Nimegundua kitu ama kwa makusudi au kwa kutojua mashabiki wa Simba wanataka matokeo zaidi kuliko hata uhalali wa mchakato wa kupata hayo matokeo. Mi naungana nao pengine kwenye vipaumbele vya mmiliki uwanja haujafikiwa bado. Ila kwa michango kama utaweza kujengwa bora tu Ujengwe.Ulimwengu wa Giza, Ulimwengu wa Mwanga.
Mashabiki wa Ua Jekundu wanaishi kwenye Dunia ya hisia,wanayatazama Mambo kichwa chini Miguu juu wapo kwenye Ulimwengu ambao Giza ni Chakula chao pendwa hawajui Vivuli vya ukweli na ukweli wenyewe
Kwasababu maamuzi yao ya msingi kuhusu maisha yanatengemea hisia zilizolala kwenye kesi ya VVIP.Kuwepo Kwao kwenye Hisia na Akili zao kuviringishwa na mgando wa fikra za kinazi kumewafanya wanaamini mnara wa Babeli ulijengwa Kwa fedha za kashata,waamini Nou Camp ilijengewa Kwa mafuta ya Vitumbua.
Pia Kufungwa Kwao minyororo ya Giza la ujinga na kutumia tumbo kutoa maamuzi ya msingi kumewafanya kuamini project ya kujenga Uwanja ni kama kukanda ngano,Waamini Samaki anaweza kupanda juu ya mti Kwa vipande vya shilingi vilivyolala mfukoni mwa waashi.
Nafikiri huu ni wakati wa kuzamisha vichwa vyao kwenye vilindi vya maji,Ni wakati ambao wanapaswa kuangalia Kila jambo kwenye Ulimwengu wa Mwanga,kwenye Ulimwengu ambao kanuni inasema kujenga Uwanja kunahitaji busara kuliko Hisia za Mtoto kunyinwa Maziwa ya VVIP.
Haya yanatokea kwasababu ya uvivu wao kufikiri na kuamua kuwa walevi wa Hisia kuliko mantiki na Ujinga mtamu umetawala pembe zote za Dunia yao iliyojaa Giza.
Aya sawaNimegundua kitu ama kwa makusudi au kwa kutojua mashabiki wa Simba wanataka matokeo zaidi kuliko hata uhalali wa mchakato wa kupata hayo matokeo. Mi naungana nao pengine kwenye vipaumbele vya mmiliki uwanja haujafikiwa bado. Ila kwa michango kama utaweza kujengwa bora tu Ujengwe.
2 b tajiri gani bongo wakutoa mchango huo..? Huo ni mchango tena kasema kwa kuanza sawa.Jamaa mjanja Sana, kasha wakimbia tayari. Yaani uwanja wa watu 30, 000/= unao karibia thamani ya 40 bilion unachangia 2 bilion kweli?