Simba wadhamiria kukamilisha uwanja wao, Mo Dewji achangia Bilioni 2

Tatizo Simba hatuna uzoefu wa kuchangia, walituaminisha club ya matajiri iweje mtuletee bakuli. Sisi furaha tu mambo ya mchango toeni ninyi.
Club ina pande mbili yaani wanachama na mwekezaji so mwekezaji atafanya upande wake na sisi wanachama na mashabiki inabidi tufanye tena kwa ukubwa zaidi ya mwekezaji na hatujalazamishwa tumetaka sisi kufanya.
 
Hivi simba hawawezi ingia ubia na mashirika mfano nhif, pssf na kama hayo then uwanja ukajengwa hela ikalipwa kidogo kidogo kupitia viingilio
 
Tutachanga, utopolo wanachukia lakini sisi tunaangalia maendeleo ya Simba.
 
BAKHRESA hakuhitaji michango na alifanya kimyakimya.
Bakhresa ile Azam FC ni yake na Simba SC ni mali ya wanachama lazima ujue kutofautisha, hivi unadhani kama kama timu ingekuwa yake angeshindwa kujenga?

Watu wengine tunawapuuza kwa kuwa na mawazo kama haya.
 
Jamaa mjanja Sana, kasha wakimbia tayari. Yaani uwanja wa watu 30, 000/= unao karibia thamani ya 40 bilion unachangia 2 bilion kweli?
Yaani bora MO yeye ametoa mchango 2b kuliko mwingine 2b yeye anataka kudhamini Ligi Kuu kwa Timu 16.

Tupo tofauti yaani..!
 
Ulimwengu wa Giza, Ulimwengu wa Mwanga.

Mashabiki wa Ua Jekundu wanaishi kwenye Dunia ya hisia,wanayatazama Mambo kichwa chini Miguu juu wapo kwenye Ulimwengu ambao Giza ni Chakula chao pendwa hawajui Vivuli vya ukweli na ukweli wenyewe

Kwasababu maamuzi yao ya msingi kuhusu maisha yanatengemea hisia zilizolala kwenye kesi ya VVIP.Kuwepo Kwao kwenye Hisia na Akili zao kuviringishwa na mgando wa fikra za kinazi kumewafanya wanaamini mnara wa Babeli ulijengwa Kwa fedha za kashata,waamini Nou Camp ilijengewa Kwa mafuta ya Vitumbua.

Pia Kufungwa Kwao minyororo ya Giza la ujinga na kutumia tumbo kutoa maamuzi ya msingi kumewafanya kuamini project ya kujenga Uwanja ni kama kukanda ngano,Waamini Samaki anaweza kupanda juu ya mti Kwa vipande vya shilingi vilivyolala mfukoni mwa waashi.

Nafikiri huu ni wakati wa kuzamisha vichwa vyao kwenye vilindi vya maji,Ni wakati ambao wanapaswa kuangalia Kila jambo kwenye Ulimwengu wa Mwanga,kwenye Ulimwengu ambao kanuni inasema kujenga Uwanja kunahitaji busara kuliko Hisia za Mtoto kunyinwa Maziwa ya VVIP.

Haya yanatokea kwasababu ya uvivu wao kufikiri na kuamua kuwa walevi wa Hisia kuliko mantiki na Ujinga mtamu umetawala pembe zote za Dunia yao iliyojaa Giza.
 
Nilichojifunza Simba wanaangalia matokeo wakati Yanga wanaangalia usahihi wa mchakato wa kupata matokeo.
 
Nimegundua kitu ama kwa makusudi au kwa kutojua mashabiki wa Simba wanataka matokeo zaidi kuliko hata uhalali wa mchakato wa kupata hayo matokeo. Mi naungana nao pengine kwenye vipaumbele vya mmiliki uwanja haujafikiwa bado. Ila kwa michango kama utaweza kujengwa bora tu Ujengwe.
 
Aya sawa
 
Jamaa mjanja Sana, kasha wakimbia tayari. Yaani uwanja wa watu 30, 000/= unao karibia thamani ya 40 bilion unachangia 2 bilion kweli?
2 b tajiri gani bongo wakutoa mchango huo..? Huo ni mchango tena kasema kwa kuanza sawa.
 
Back
Top Bottom