Simba waipiga Spana Yanga Instagram kwa kutumia logo ya Ligi ya Mabingwa Afrika

Simba waipiga Spana Yanga Instagram kwa kutumia logo ya Ligi ya Mabingwa Afrika

Unapokuwa watchman unabaki tu watchman.Timu zinashiriki on merit.Huwezi kujikimbikiza na logo ya Champions League na wewe unashiriki Confederation Cup.Msiwalaumu mambo haya mageni sana kwao.Hawajui tofauti.Wachungeni wasije wakaenda Guinea.
 
Yanga kuna tatizo mahali

Mikataba ya wadhamini wa ligi (voda kipindi hicho)
Mkataba wa ligi mdhamini (NBC)
Mkataba wa makocha na wachezaji kadhaa ambao mashauri yameamuliwa na Fifa walipe akiwepo yule kocha aliye tamka neno manyani
Mkataba na fei

Mkataba na SP

Hili nalo pia la kuchanganya logo
 
Minding your own business ni kitu cha msingi sana
 
Mkuu vp swala la mikataba unetuacha hewani
1675779200023.png
 
Calm down Utopolo povu la nini?Kwani walioweka logo ni Simba?Kama ni yenu mbona mmefuta?
Utulie sasa, errors zipo everywhere mbona vitu vingine ni very minor? unataka kuniambia kwenye page yenu huwa hawakosei? mnaulimbukeni wa ajabu pages kubwa duniani wanakosea haija wahi kua nongwa nyie kila siku Yanga !
 
Ulipoandika huo upuuzi hukujua kuna watu watasoma.Kwani kuna ligi ngapi uwe unazungumzia nyingine?Fikiri kwanza kabla hujaandika upuuzi wako.
Umeandika ujinga tu hapa.
 
Back
Top Bottom