Simba waipiga Spana Yanga Instagram kwa kutumia logo ya Ligi ya Mabingwa Afrika

Simba waipiga Spana Yanga Instagram kwa kutumia logo ya Ligi ya Mabingwa Afrika

Aliyewaita mbumbumbu anastahili kupewa tuzo.
Mwamba huyu, Luc Eymael 😁

1675785531909.png
 
Yanga Waelimishwe hii logo ya CAF inatumiwa tu na timu shiriki za Champions League si vinginevyo.
Tunaona wakijikoki kuposti na nembo hii. Ni kosa.
 
Yanga Waelimishwe hii logo ya CAF inatumiwa tu na timu shiriki za Champions League si vinginevyo.
Tunaona wakijikoki kuposti na nembo hii. Ni kosa.
Ona huyu mbwiga [emoji849] hata hauelewi nini kinaongelewa , huu ukoo wa mbumbumbu ni janga hii nchi
 
Unapokuwa watchman unabaki tu watchman.Timu zinashiriki on merit.Huwezi kujikimbikiza na logo ya Champions League na wewe unashiriki Confederation Cup.Msiwalaumu mambo haya mageni sana kwao.Hawajui tofauti.Wachungeni wasije wakaenda Guinea.
Hahaha nimecheka sana comment hii ni ya kibabe
 
Ona huyu mbwiga [emoji849] hata hauelewi nini kinaongelewa , huu ukoo wa mbumbumbu ni janga hii nchi
Asiyeelewa ni nani?Aliyeweka logo ya Champions League huku anashiriki Confederation Cup au nani mwingine?.Sishangai kundi lote ukitoa wawili akili ni za kupimiwa.
 
"Kushirikiana na Simba itasaidia sana kuitangaza Tanzania."- Mwakilishi wa Bodi ya Utalii pamoja na Wizara ya Maliasili na Utalii, Bernard Mtatiro.

#WenyeNchi
#NguvuMoja
 
Na nyie futeni english mbovu mliyotumia wakati wa kutoa rambirambi kwenye msiba wa Pele. Na zile picha za kichawi kule South Africa futeni
Kujibu hiki kituko nitakuwa nakupa credit za bure.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Asiyeelewa ni nani?Aliyeweka logo ya Champions League huku anashiriki Confederation Cup au nani mwingine?.Sishangai kundi lote ukitoa wawili akili ni za kupimiwa.
Wana akili za kwendea chooni tu hawa vyura
 
Asiyeelewa ni nani?Aliyeweka logo ya Champions League huku anashiriki Confederation Cup au nani mwingine?.Sishangai kundi lote ukitoa wawili akili ni za kupimiwa.
Wewe mbumbumbu soma alicho andika mbumbumbu mwenzako
 
Unapotezea eeh!! Sasa huyu mjinga wako uliyemuweka hapa na wale mashabiki waliomzomea, nani anafanana na hao wanyama?
Wanyama wepi tena mbona kigugumizi kuwataja?Sii wataje!
 
Back
Top Bottom