Simba waipiga Spana Yanga Instagram kwa kutumia logo ya Ligi ya Mabingwa Afrika

Pole Mkuu. Tumetofautiana sana hapa jukwaani
 
Una akili timamu mkuu? Sasa maswala ya ushoga yanayoka wapi? Kama una hoja Lete tujadili maswala ya kuanza kutukanana na kukadhifiana hayo ni mambo ya kina dada
Kwani nmekutukana mkuu,nimesema wazi tu hii ni edit ya kiwango cha chini sana imefanywa na gay flan,kwani ni wewe kweli???
 
Reactions: Tui
Kwani nmekutukana mkuu,nimesema wazi tu hii ni edit ya kiwango cha chini sana imefanywa na gay flan,kwani ni wewe kweli???
Kuna haja gani ya kusema nadhani ni wewe au huoni kua ushapeleka shutuma kwangu.

Huu ni mpira tu maisha mengine yanaendelea usipende kuingiza vitu vya kijinga kwa watu usiowajua.
 
Yan vimada mada kama hivi ndio makolo yanafurahi at least inawasaidia kupunguza maumivu ya kwenye ligi, Yanga kuwaumbua kwa kuingia makundi maana huku kote walitegemea Yanga ichemke lakini wapi!

Yan mlichobakiwa ni kukomalia vitu vidogo vidogo mnavikuza. Haya tumekosea mmefurahi?
 
Unapokuwa watchman unabaki tu watchman.Timu zinashiriki on merit.Huwezi kujikimbikiza na logo ya Champions League na wewe unashiriki Confederation Cup.Msiwalaumu mambo haya mageni sana kwao.Hawajui tofauti.Wachungeni wasije wakaenda Guinea.
[emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…