Simba wamkataa Muharami kuwa kocha wake

Unona ngada zinavyowaendesha πŸ˜…πŸ˜…. Afadhali mmekamatwa tutawapeleka Reharbal
Wewe unatakiwa uende rehab sio reharbal kichwa yako imejaa kinyesi mpka kwenye chupi
 
hata sisi hatupati picha tungetolewa na club africa ingekuwaje,kwa jinsi mlivyoshadadia ile droo waliyipambania hapa darusalaam...
Huwa malipo hapa hapa duniani,sipati picha wale kofia ndefu wanahali gani potepote walipo, mwenye kujua walipo aturushie picha πŸ₯±
 
TAKUKURU wanahusikaje na matuminzi ya madawa ya kulevya kumbe mkiambiwa nyie ni manyani mambwa mnabweka bweka hovyo ni kweli?
 
Kwa kifupi ni kwamba, Muharami alipokuwa Simba SC alikuwa akipiga deiwaka, LABDA ndio sababu akaamua kujiongeza.
Mgunda naye watakataa hakuwa kocha wao
 
Ndio maana thithi thimba pre season tunaenda ulaya mara uturuki ninyi utopolo mmebaki kigamboni kumbe mnasambaza na ngada kabisa
 
Mzamiru Yassin a.k.a kiungo 'punda'

Simba guvu moya
 

Aya
tahalifa
tiyali
Ivyo
wahandike
tahasisi
anaye zaniwa.....

Ngumbaru huyu, rudi memkwa.
 
Dah! Hapa kweli uongozi wetu umezingua.
Wamekurupuka. Bora wangetuliza akili kwanza. bladfakeng!
 
Mgunda nae akidakwa na ngada simple tu tunamruka tu kuwa hana mkataba anapiga tu deiwaka ya ukocha.

Kuwa mbumbumbu raha sana.
 
Jamani Simba wamesema hawana mkataba na huyu jamaa kwamba yeye alikuwa dei waka - kama mkataba anao basi autoe muuone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…