Simba wamkataa Muharami kuwa kocha wake

Simba wamkataa Muharami kuwa kocha wake

Ukiachana na hayo madawa hivi kwanini club yetu saivi ina ma deiwaka
Head coach deiwaka
Fitness coach hamna
Gk coach deiwaka
Alafu kwenye kuingia uwanjan na daktari namuonaga Match analyst Calvin Mavunga nae anaendana au yule jamaa ni multipurpose?
 
Hatutaki maziwa ya punda tunataka nyama ya punda kilo moya,tujue ladha yake😄
Maziwa ina vitamins ya kutosha ile unakuywa kikombe kimoya unakua na guvu kama ya Simba 😀 😀
 
Jamani Simba wamesema hawana mkataba na huyu jamaa kwamba yeye alikuwa dei waka - kama mkataba anao basi autoe muuone.

Hawakua na mkataba nae lakini alikua anawafanyia kazi hadi anakamatwa yaani mapouda FC wamepagawa
 
klabu iko tayari kutoa ushirikiano kwa mamlaka husika pindi itakapohitajika kwa maslahi ya Taifa.
si alikuwa anabeba ng'ada kwenye mipira ambayo ni zana zenu za kazi, saa hamhusiki kivip? kwa kifupi mmo!!!
 
Klabu inatakiwa kuwa makini na matamko yake, uyu Kocha amesha fundisha Kwa miaka mingi pale Simba Kwa nyakati tofauti, imekua wakifukuzwa makocha wa kigeni yeye anarudishwa kuokoa jahazi.

Kwasasa bado yupo mahabusu na unaweza kukuta amekiri kosa na kutaja anao shirikiana nao katika biashara hiyo.
Uwezi jua katika mahojiano yanayo endelea akataja na baadhi ya wengine ambao wapo pale Simba Sasa klabu itakua katika nafasi ngumu sana.

Ilitakiwa klabu yenyewe kupinga kuhusika kwake kama klabu na kuonyesha Kwa umma ilo ni lake binafsi na inamsimamisha mpaka mahakama itakapo toa hukumu pia kuomba samahani Kwa usumbufu Kwa wapenzi na wanachama kusumbuliwa kutokana na tuhuma hizo.
 
TAKUKURU wanahusikaje na matuminzi ya madawa ya kulevya kumbe mkiambiwa nyie ni manyani mambwa mnabweka bweka hovyo ni kweli?
Huna unalojua hapo kuna rushwa Kati ya taasisi na watu. Unawaza kifupi kama puani yako🤣
 
Kwani manji aliposhikwa na ngada alikamatwa kama manji au taasisi ya yanga akiwa mdhamini wenu?
Huna akili unaleta tetesi dhidi ya ukweli hizo kesi za manji kukamatwa zlifunguliwa kwako?
 
Nimeamini ni chuki tuuu yani kweli mpira umeshakua jangaa yani akamatwe mwingine mje mumhusishe mwingine na upumbavu wa mwingine chaaa
 
Back
Top Bottom