Simba wanaonesha utoto kwa Morrison na wachezaji wa kigeni

Kuna ishu za kisheria pia, inabidi usizichukulie poa. Unaweza ukampa barua ya kumuachia akaja kugeuza maneno kwamba umemvunjia mkataba, kwa hiyo umlipe mahela mengi mengi kadiri ya mkataba ulivyosema. Kumbuka kuwa Morrison ni wakili msomi 😁
si umwambie yeye mwenyewe na mwanasheria wake aandike barua kuomba release letter yake ili apate muda wa kuwahi dirisha la usajili? kwani timu nyingi hazina fedha za kuvunja mkataba wa mchezaji, hivyo kukataa kumpa release letter kwa muda mwafaka ni sawa kabisa na kupunguza nafasi yake ya kusajiliwa na timu, hii ni dhamira ovu kwa mchezaji wako ambae umetangaza mwenyewe kutoendelea nae na mkata wake umekwisha bado siku 10 tu kwisha. Kinachoangaliwa hapa ni dhamira (intension) ya kumnyima mchezaji wa aina hiyo barua yake ya kumruhusu akasajiliwa hata na timu ndogo zenye kipato kidogo.
 
Sasa umeshasema Vyura hizo sheria wanazijuaje?.
 
The fall of Simba has many colours!

mmefukuza kocha na wachezaji bado viongozi tu!

mwaka huu mnatukana sana kila comment kisa makombe yote ya bara yameenda Jangwani!! mfungaji bora mmekosa! kipa bora mmekosa, mchezaji bora mmekosa!!
Weew huna akili kama asemavyo manara
 

Kama inakuuma sana andika wewe hiyo barua ipeleke Simba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Watu wanafata Sheria nyie Vyura mnaita utoto? Si ndo nyie mlimshitaki CAS huyo Morisson ili asicheze Mpira? Leo ndo mnajifanya mnampenda sana eti tunaharibu Career yake, Career ya Nyoko?? Tulieni dawa iwaingie na Mkataba unaisha 14 August Maanina! [emoji881][emoji881][emoji881][emoji881]
 
Nadhani hapa hatuendelei na mjadala umemaliza kila kitu
Labda alete ule uchura, unyani, umbwa wake kama asemao luc eymael
 
20b zimeyeyuka wanataka kuuza mkataba wa siku 10 kwa GSM. Wamesahau jasho na mchango wa Morrison kwao, wanaachana nae kihuni. Kumbukeni kuwa Morrison sio mchezaji mdogo Africa, caf na fifa wanamfahamu sana pia.
Kwani uto mlimuachaje morrison ?
Mlienda hadi uhamiaji nyie 😂 kweli hamna akili
 

Attachments

  • 20220624_122151.jpg
    46.6 KB · Views: 7
Hapa nyie mlikuwa sahihi bwana utopolo?
 

Attachments

  • 20220624_122151.jpg
    46.6 KB · Views: 7
wachezaji wa kigeni hawataiona SIMBA kama chaguo la kwanza maana mnajipaka matope WENYEWE ok ngoja tuone maana muda umesogezwa mbele na Morrison anajikia mshahara wake wa mwezi hadi mwezi wa nane
Boss mbna unahangaika wewe?

Sisi simba naomba niweke hili wazi sawa
Sio kwamba morrison ametukataa hapana ni sisi wenyewe tumeamua kumuacha mapeeema tu na tukatoa official statement TUNAMUACHA
sasa wewe chura hatukusema tunamuacha LINI saa ngapi wala hawajasema wanamuacha kabla ya mkataba
Nashangaa mchezaji aliewaacha kwa mbwembwe leo hii mnalialia kisa yeye
Ati tunatisha wachezaji wengine watatuogopa. Naomba niweke hili neno na LIKUINGIE kwenye hilo fuvu lako hapo. Ni timu chache sana hapa Afrika ambazo zinaweza kumchukua mchezaji mbele yetu hazizidi 10

Wachezaji wengi wanaotaka kwenda afu mbna sisi hatuna baya
Bwalya huyoo Amazulu
Miqqusone na ule ubora wake wooote tumemuacha aende kwenye dunia ya waarabu
Chama RS berkane tulimuacha

Na wengine kibao
Yanga acheni ureee toeni hela mchezaji mpewe
Hizi nyuzi za kulialia hazisaidii fuata chuma pale msimbazi mkuu
 
The fall of Simba has many colours!

mmefukuza kocha na wachezaji bado viongozi tu!

mwaka huu mnatukana sana kila comment kisa makombe yote ya bara yameenda Jangwani!! mfungaji bora mmekosa! kipa bora mmekosa, mchezaji bora mmekosa!!
Basi mtoa assist bora tumepata
 
Sasa kama mkataba umekwisha uzi wa nini wewe?

Si mchezaji ambaye mkataba umeisha si anakua huru mchukueni
 
wideta.... wunia wako! waandike fya nyoko!
 
Simba ni kama yule mwanaume ambaye anatamani kumuacha mke wake lakini bado anampenda japokuwa mwanamke bado ni msumbufu

Inaitwa sitaki nataka
 
Kama hakuna sheria ya Caf tunayoitumia basi nendeni mkatushtaki mbona ni simple tu ndala wenzangu?
 
Sasa hapa ndio umethibitisha utopolo akili zenu zimeshikwa na Sope.
Wawa ameagwa jana baada ya mkataba kumalizika, umesikia akidai release letter? Unaposhindwa kuendelea na mkataba haustahili barua ya kuvunja mkataba bali unasubiri mkataba uishe ili uwe free agent.
Hebu tuambie barua unayodai apewe itakuwa na maelezo gani? Au ndio na wewe umesikia wachambuzi wakiongelea barua na wewe ukaona uandike uzi huku hujui barua inahusu nini?
 
Huoni aibu huyu upuuzi wako unaoandika hapa?
 
Case closed.
 
Hiyo ya akina Miquisson na Bwalya ni tofauti kabisa, na wala havifanani kabisa, labda kama huna uelewa wa kutosha. Morrison mkataba wake simba umeisha kasoro siku chache tu, na Simba ametangaza kutomsajili tena na wameshamuaga na hata kwenye mechi zilizosalia hawampangii tena, hii ni tofauti kabisa na hiyo mifano ya akina chama unayoleta hapa. Busara na uungwana ingekuwa kumpa release letter yake ili awahi fursa nyingine kabla dirisha la usajili halijafungwa. Shida yenu kwenye hili iko kwenye sehemu nne:
1. Kumkomoa mchezaji wenu kutoka na kumtongoza sijui nani kwenye club
2. Ukata kwenye club, mnaona ni heri mtumie siku zilizobakia kwenye mkataba kujipatia chochote, isiwe bure kabisa.
3. Kuikomoa yanga, kwakuwa hamuipendi
4. Wachezaji wa kigeni wenye uwezo kuliko Morrison mliowawania mmewakosa kwa kukosa pesa, hivyo mnamtamani Morrison tena.

Sio zaidi ya hapo.
 
Kama amemaliza mkataba release letter ya nn?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…