Simba wanaonesha utoto kwa Morrison na wachezaji wa kigeni

Luc Emely alikua sahihi kuwaita lile jina lenu la πŸ’πŸ’ yanga kama wanamuhitaji wawaandikie simba narua. Yaani.simba ndio itoe barua nila kupata barua ya timu inayomhitaji.?? Akili za wapi hizo.? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kweli utopwinyo ni utopwinyo tu aiseee
 
Tuweke ushabiki pembeni watanzania,
Yaani ni kweli Afrika mzima hakuna mchezaji mzuri na mwenye uwezo wa kuchetua gozi la ng'ombe bali ni BM3 peke yake?
Kama kweli Yanga wana mpango wakumsajili Morison basi lile jina la utopolo litakuwa haliwatoshi bali napendekeza waitwe NZI WA KIJANI kwa maana hawana kinyaa.
Morison huyu aliyewadhalilisha CAS leo hii amekuwa lulu. Amkeni utopolo acheni ubahili nunueni wachezaji wengine wenye uwezo kama Morison au zaidi yake.
Kumbukeni msimu ulioisha wa mashindano ya CAF BM3 alishindwa kuingia South Africa kucheza dhidi ya Orlando Pirates kutokana na sababu za utovu wa nidhamu na uhuni au nyie mnataka mumtumie dhidi ya watani zenu tu?
 
Aliyewaita manyani hakukosea, yaani unaanzisha thread bila hata kujua juu ya mkataba. Jipige kifuani sema Mimi kilaza.
 
Waliolike hapa ni WAPUMBAVU.
Timu inapaswa kuwasiliana na Timu yenye mchezaji ikiwa tu mchezaji huyo ana mkataba na hiyo timu si chini ya Miezi 6.

Kama mchezaji amebakiza miezi pungufu ya hiyo anaruhusiwa kuingia mkataba wa awali na timu nyingine bila kipingamizi chochote.

Suala la Morisson ni kwamba yeye alishamalizana na Simba na kwamba hatoongeza mkataba wake, hivyo hakuna sababu ya Simba kutompa release letter yake ili awahi sehemu zingine.

Bwalya hajauzwa, ameenda Amazulu kama mchezaji huru mbona amepewa barua yake mapema??

Upinzani wa Simba na Yanga usitufumbe macho na kuandika ujinga bila kujua lolote.

Simba wampe barua yake awasilishe anakoenda na hawana haki ya kusema eti timu iongee na Simba kwa kipi??

Simba watamuuzaje mchezaji aliyemaliza mkataba nao??
Tunaona Ulaya, Pogba amemaliz mkataba na huyu amesepa kiroho swafi tu, Messi tumeona, Mane hapa Juzi tu tumeona nk nk.
 
Kama amemaliza mkataba release letter ya nn?
10 days to go na kumfukuza wenyewe!!! ndio uzuie release letter ya mchezaji aliyewapa raha siku zote hizo, shame on you. Historia itawahukumu kama ile ya manara. Malipo ni hapahapa duniani.
 
Uto andikeni barua kama walivyofana Amazulu. Tatizo lenu mnajifanya mamwamba kumbe wasenge tu
 
Watu wa Yanga wanapenda uchawi sana, kiaichoeleweka ni nini!?? Andikeni barua
 
Amemaliza tarehe ngapi?Au na wewe ndio wale nyuma umechomekwa mwiko?
 
Huyu jamaa mlimnunua mapeema sana.Alicheza chini ya kiwango na kujaribu kujitafutia red card ili aigharimu Simba.

Nawapongeza kwa kucheza mechi nje ya uwanja.Huko kimataifa mkiweza tena hiyo michezo yenu,nitawakubali kuwa mmekuwa wakubwa.
 
Angetaka kujiunga na hizo timu unadhani zingeshindwa nini kuomba kwa Simba?
Simba wangeamua wenyewe wamuache bure au wauze mkataba.
Sasa ninyi utopolo,hakuna mtu anayejua kuandika barua hapo kwenu?
Si muandike kuomba tuwape bure?
 
Ndio maana tunasema Simba hakuna viongozi wenye weledi kwenye mpira, ni watu TU wapi wenye malengo ya pesa TU kupitia Simba. Kulikuwa na haja gani kumtangizia mapemaaa mchezaji na umma kuwa umemuacha mchezaji kabla ya mkataba wake kwisha? Kwani ingekuaje kama mngekaa kimya hadi muda mwafaka wa kutangaza kuachana nae ufike? Kifupi viongozi uchwara walifanya maamuzi kwa hasira na Sasa hasira imekwisha wanafahamu walipokosea. Yaani ni ule msemo wa ukijamba kwa hasira utajinyea, Simba walijamba kwa hasira wakajinyea kwenye chupi. Wamegundua Sasa kuwa kosa la Morrison lilikuwa dogo kuliko adhabu waliyompa, wanamhitaji kuliko yeye anavyowahitaji.
 
Y're too naive.
 
Hakuna anaekataa kuwa Morrison ni mchezaji halali wa Simba aliyebakiza mwezi mmoja kwenye mkataba wake na Simba. Lakini hakuna mtu asiyefahamu kuwa Simba ilimuaga rasmi morrison kuwa hawana Nia ya kuendelea nae kwenye mechi hadi mwisho wa mkataba wake, maana yake aende mbele kwa mbele wasijuane tena. Kuna ubaya gani kwa mchezaji aliyeitumikia timu kwa nguvu, akili na mahaba makubwa kuiomba club yake impe release letter ili awe huru kusajiliwa kwingine mapema? Kumbuka kuwa Kuna timu ambazo hazina uwezo wa kununua mkataba wa mchezaji. Hapa ni swala la roho mbaya linapoingia kwenye hili.
 
Huyu jamaa mlimnunua mapeema sana.Alicheza chini ya kiwango na kujaribu kujitafutia red card ili aigharimu Simba.

Nawapongeza kwa kucheza mechi nje ya uwanja.Huko kimataifa mkiweza tena hiyo michezo yenu,nitawakubali kuwa mmekuwa wakubwa.
Hahaha, nyie hiyo ndio micheZo yenu. Mliifunga Yanga 4-1 baada ya kuwanunua akina Morrison, yondan, ajib, nk.
 
Yani leo kuna watu wenye akili timamu wanaomtetea Morrison? Kweli aliyewaroga kafa.
 
Wanalaumiwa Simba waliomtaka Morisson afuate utaratibu ila unasahau Yanga walifoji mkataba na kumfungulia kesi kuwa ni mchezaji wao.

Alisema Haji Manara ukiondoa mzee JK na Baba yake wanayanga wengi ni kama hamnazo hivi

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Tulitangaza vile KWA SABABU yawezekana morrison alikua na utovu wa nidhamu na kama tunavojuana mashabiki wa bongo tuna maneno
Msimu ulikua haujaisha ilitangazwa ili hata asipoonekana kwenye kikosi yasikuepo maneno ya kwanini hatumuoni kwenye pitch au hachezi kwann
 
Yani leo kuna watu wenye akili timamu wanaomtetea Morrison? Kweli aliyewaroga kafa.beha
tunaongea lugha ya soka na sio kutetea mtu. Morrison aliitenda hata yanga, hata kaizer chiefs, lakini hiyo haisababishi tufanye unsporting behavours kwa mchezaji. Huu ni wakati wa usajili mpeni ruhusa akahangaike na changamoto mpya. Huyu Morrison hatofautiani sana na Emmanuel Okwi kitabia.
 
Uliposema tu Simba wampe release letter wakati mkataba haujaisha nikajua popoma umeandika hili thread huku umekalia ukuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…