Simba wanaonesha utoto kwa Morrison na wachezaji wa kigeni

The fall of Simba has many colours!

mmefukuza kocha na wachezaji bado viongozi tu!

mwaka huu mnatukana sana kila comment kisa makombe yote ya bara yameenda Jangwani!! mfungaji bora mmekosa! kipa bora mmekosa, mchezaji bora mmekosa!!
Kwani Yanga hamjawahi kufukuza kocha? We jamaa mbona hoja zako ni nyepesi sana? Kwa hiyo kufukuza kocha ndio the fall of Simba? Huyu kocha si mlikuwa mnam dis wakati alipokuja?
 
Wapi simba walipomtupia virago? Kama hujui kusoma angalia clip za Ahmed Ally msemaji wa Simba anapo ongelea suala la Morison. Yule amepewa mapumziko na ni bado m hezaji halali wa Simba sc. Fuateni taratibu. Kwani nyie kama mnamtaka mnashindwa nini kuandika barua ya kumhitaji?
 
Kwa hiyo mkataba wa Morison na Simba umeisha isha mwezi huu sio?
 
nimesikia wachezaji wazuri wote hawapendi kuja Simba, mmefilisika, mnataka kuuza mkataba wa Morrison wa siku 15 zilizobaki, shame on you. Hii ni sawa na mtu kufanya biashara ya kuuza maganda ya ndizi baada ya walaji kula ndizi na kutupa maganda.
Kama yupi ambaye hajataka kuja Simba Sc? Phiri ni mbaya? Yupo Yanga?
 
Basi msajilini Saido apate riziki yake. Mbona mmemwacha?
 
Nasikitika umetumia muda wako wa thamani kumuelewesha huyo muungwana.....kama utafuata mtiririko wa maandiko yake utagundua kuwa huyo hayuko hapa kwa ajili ya kupata ufafanuzi bali yupo hapa kwa ajili ya kulumbana..........watu kama hao kwa kutambua thamani ya muda wako ni kuwapuuzia tu....
 
Siyo SSC inayowawekea hofu watu au wachezaji - aidha wa ndani au wa nje - ni suala la "stk" yaani sheria, taratibu na taratibu za uendeshaji wa soka letu hapa Tanzania. Nasema tena siyo suala la kuwekeana hofu bali ni suala la uendeshaji mzima wa soka letu.
 
Ww dawa yako haiwezi kuwa nyingine zaidi ya hii hapa chini
 

Mistari Uliyoitoa Hapa Najua Anajuta Sana Sana

Kuandika Thread Mbovu

Hoja Imeungwa Mkono
Umemchambisha Kabla Hajanya
 
Njaa mbaya sana. Mwamed kafilisika, mnataka kuokoteza kutoka kwa Morrison. Yaani aandike barua ya kivunja mkataba ili alipe hela za kuuvunja, hii yote inaangukia palepale pa kumkomoa mchezaji pengine na kuomba hela kutoka GSM
Sasa ndio hapewi barua... Nendeni cas
 
Sasa barua ya kazi gani kama kashasaini?
amekubali yaishe kwa kumwachia hakimu wa kweli Mungu. Ni Mungu pekee anaeshughulika na dhamira za watu. Kama dhamira ni ya heri atakulipa heri hata kama wengine wakikuhukumu, na kama dhamira ni ovu atakulipa sawa na dhamira yako hata kama wengine watakushangilia. Kikubwa ni unafanya hivyo unavyofanya ukiwa na dhamira (intention/motive) gani.
 


Na Jambo lingine mbona mtoa mada ajalalamika kuwa bwana Morrison anapata salary zake?
 
Basi asubiri barua toka kwa Mungu
 
Usikazanie sheria.Sheria ni taaluma ya kiufundi.Kuna kipindi unajiongeza.Tumia akili.
 
Mkataba wa Simba na Morrison umeisha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…