Simba wanasajili wachezaji bila kuwa na kocha mkuu

Unaweza ukatuhakikishia hapa kuwa Kocha Gamondi ndiye anayesajili wachezaji Yanga?
 
Yanga wamesajili chama huku wakijihakikishia gamond anabaki
 
Unaakili ndogo sana
Ndo maana misimu miwili makocha sita na bado mashabiki hamshtuki
 
Miaka mingi iliyo pita mabingwa wa uskoch wa muda wote FC RANGERS waliwai chukua ubingwa bila kua na kocha..

Mimi binafsi hali nishangazi

Kwa Sasa
Safarini Zanzibar
 
Mdomo mdogo unafosi kula muwa !! Kitulize utaskia tu usajili wa kocha mpya
 
Kulikuwa na umuhimu mkubwa,kumwajiri kocha mkuu asimamie zoezi la usajiri ni Kosa kusajiri kwa kutumia ripoti ya kocha aliyeondoka Hawa kila mmoja na msimamo na falsafa yake ndiyo maana mlitaka kumwacha kibu kipindi Nanakuja robentinyo kwa kutumia ripoti ya aliyeondoka lakini alipofika akasema msimwacge ana nifaa kwenye mbinu Zangu, sasa kwa hiking kinachoendelea tusingependa kusikia tena huko mbeleni kuwa hamtaki mangungu wakati sasa mnaunga mkono wanachokifanya
 
Tatizo la simba ni kubwa sana kuliko hata mangungu Muwekezaji wa simba dewji ni tatizo sana ni mtu anayependa sana shortcut

Kumwacha chama kumewaumiza sana mashabiki wengi anavyosajili wachezaji wengi ni kama anataka kuwasahaulisha mashabiki wa simba kuhusu chama
 
Mbona mapendekezo ni mengi? Nyie mnajua kuliko Simba wenyewe?
 

Simba wamelogwa!
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…