Mnafiki Wa Kujitegemea
JF-Expert Member
- Dec 30, 2022
- 3,751
- 6,337
Makao makuu ya shirika,chama cha siasa,ya taasisi ama una maanisha makao makuu ya nini?Shule kitambo, enzi nasoma niliambiwa....
Mji mkuu - Dar
Makao makuu - Dodoma.
Kwa kweli mambo yamebadilika sana leo nimeamua kufatilia nimebubujikwa na machozi mno
Mimi ni Mwanaume,nina ndevu.Tulia
Yule kocha aliyewaita Manyani ajengewe mnaraMadhara ya kushiriki Mashindano madogo ya Shirikisho, lazima timu zinazoshiriki haya mashindano zinatoka pembezoni.
Simba wapo maporini katika Jiji la Constantine Algeria ambalo ni mji wa kale ambapo walifika Roman empire
Yaani Kwa hapa Tanzania ni Kama Kilwa, Ruangwa lipo Namungo, Bagamoyo huko Kaole au Kigoma Ujiji.
Kufika Constantine huko hata ma bus hayafiki mpaka bodaboda
Mtani amepanda bodaboda 😄
Yanga ipo katika Jiji la Algiers ambao ndo mji mkuu hapo Algeria yaani Kwa Hapa Tanzania ni kama Dar es salaam, wapo hotel ya five star ✨
Hakuna timu itacheza mashindano ya akina mama iwe mjini, itapatakana maporini tu, Mtani yupo Jiji la Constantine Algeria analiwa na mbu na manyani
Yanga ndo team inacheza mashindano makubwa Africa na zinacheza timu kubwa tu mtani yeye yupo UMISETA
Yanga Bingwa
[emoji23][emoji23][emoji23]Madhara ya kushiriki Mashindano madogo ya Shirikisho, lazima timu zinazoshiriki haya mashindano zinatoka pembezoni.
Simba wapo maporini katika Jiji la Constantine Algeria ambalo ni mji wa kale ambapo walifika Roman empire
Yaani Kwa hapa Tanzania ni Kama Kilwa, Ruangwa lipo Namungo, Bagamoyo huko Kaole au Kigoma Ujiji.
Kufika Constantine huko hata ma bus hayafiki mpaka bodaboda
Mtani amepanda bodaboda [emoji1]
Yanga ipo katika Jiji la Algiers ambao ndo mji mkuu hapo Algeria yaani Kwa Hapa Tanzania ni kama Dar es salaam, wapo hotel ya five star [emoji92]
Hakuna timu itacheza mashindano ya akina mama iwe mjini, itapatakana maporini tu, Mtani yupo Jiji la Constantine Algeria analiwa na mbu na manyani
Yanga ndo team inacheza mashindano makubwa Africa na zinacheza timu kubwa tu mtani yeye yupo UMISETA
Yanga Bingwa
Hata sijui babu.Wewe ulizaliwa na nani? Nyani ?
Madhara ya kushiriki Mashindano madogo ya Shirikisho, lazima timu zinazoshiriki haya mashindano zinatoka pembezoni.
Simba wapo maporini katika Jiji la Constantine Algeria ambalo ni mji wa kale ambapo walifika Roman empire
Yaani Kwa hapa Tanzania ni Kama Kilwa, Ruangwa lipo Namungo, Bagamoyo huko Kaole au Kigoma Ujiji.
Kufika Constantine huko hata ma bus hayafiki mpaka bodaboda
Mtani amepanda bodaboda
Umekumbuka jina lenu mlilopewaHuko Kuna manyani tu
Kumbuka Utopolo yako ilivuliwa chupi mara mbili kwenye majaluba ya mpunga kule Mbarali na Ihefu.Madhara ya kushiriki Mashindano madogo ya Shirikisho, lazima timu zinazoshiriki haya mashindano zinatoka pembezoni.
Simba wapo maporini katika Jiji la Constantine Algeria ambalo ni mji wa kale ambapo walifika Roman empire
Yaani Kwa hapa Tanzania ni Kama Kilwa, Ruangwa lipo Namungo, Bagamoyo huko Kaole au Kigoma Ujiji.
Kufika Constantine huko hata ma bus hayafiki mpaka bodaboda
Mtani amepanda bodaboda 😄
Yanga ipo katika Jiji la Algiers ambao ndo mji mkuu hapo Algeria yaani Kwa Hapa Tanzania ni kama Dar es salaam, wapo hotel ya five star ✨
Hakuna timu itacheza mashindano ya akina mama iwe mjini, itapatakana maporini tu, Mtani yupo Jiji la Constantine Algeria analiwa na mbu na manyani
Yanga ndo team inacheza mashindano makubwa Africa na zinacheza timu kubwa tu mtani yeye yupo UMISETA
Yanga Bingwa
Sawa ila kulalwa kwenye majaluba ya mpunga noma sanaLakini ikampiga Simba mara nne mfululizo
Na kipigo kizito cha goli 5 kikimkuta
Halafu unakuta jamaa naye ni mzazi na ana watoto wanamtegemea!Haujui hata mji mkuu wa Tanzania halafu unataka tukuchukulie siriazi. Mengine nakusamehe, najua ukikua utayaacha tu
Kama yanga anavyopigwa kama Ngoma?Mashindano ya Wamama.... aka Kombe la Wamama watapigwa kama ngoma Losers Cup.