Simba huwa haina timu ndogo linapokuja suala la kimataifa, inaheshimu timu zote. Hata Kijani na njano naamini mmeshajifunza baada ya wakati fulani kushangilia kundi mlilopangwa kisha mkatolewa.Mechi gani muhimu hapo wakati simba ni wakubwa vitimu vya hatua za awali kwao ni chamtoto tuu sasa wanalia lia nini?? Mapumziko ya siku 3 hayatoshi ?
Huo ugumu ndio ukubwa wenyewe, ndio maana wanalipwa mishahara mikubwa. Kama changamoto za yanga na simba hawaziwezi waende kucheza kmc au jkt watapata hiyo fursa ya kucheza mechi pungufuSimba kucheza itacheza ila embu vua usimba na uyanga ujiulize swali jepesi tu, ratiba ni ngumu kuwa ni lazima kucheza tarehe ambayo siku mbili mbele kuna mechi nyingine muhimu?
Kwamba ugumu hata kama hauna ulazima utengenezwe sababu wanalipwa mishahara mikubwa sio? Hahaha.Huo ugumu ndio ukubwa wenyewe, ndio maana wanalipwa mishahara mikubwa. Kama changamoto za yanga na simba hawaziwezi waende kucheza kmc au jkt watapata hiyo fursa ya kucheza mechi pungufu
Sababu club na vyombo vyenu vya mpira havina misimamo na club za Kkoo ni kubwa kuliko vyombo vya ligi, wao wanawaheshimu wanasiasa. Standard ya mpira timu atleast ipate siku mbili za mapumziko.Sasa wanasiasa wanaingilia kwanini?
Unajua unakosea sana unapolinganisha ulaya na Africa. Binafsi hapa kwetu tu huwa nasema hakuna fairness kwenye ligi sababu mazingira ya usawa baina ya timu hakuna sasa wewe unalinganisha ulaya na Africa tena chini ya jangwa la sahara? Huku ambapo Yanga/Simba inakutana na timu ambayo imesafiri na basi bovu kukutana na mpinzani ilihali wao wanakwenda kwa ndege? Huwezi linganisha EPL na NBC.Sababu club na vyombo vyenu vya mpira havina misimamo na club za Kkoo ni kubwa kuliko vyombo vya ligi, wao wanawaheshimu wanasiasa. Standard ya mpira timu atleast ipate siku mbili za mapumziko.
Mfano mdogo tafuta fixtures za EPL mwezi wa kumi na mbili, unakuta team moja ina ligi, FA,UEFA na Carabao mwezi mzima timu moja inacheza mechi zaidi ya nane.
Hakuna ugumu uliotengenezwa. Kanuni inataka timu ipumzike siku mbili kabla ya kucheza mechi inayofuata. Angalia hizo ratiba uone kama hakuna interval ya angalao siku mbili kwa kila mechi.Kwamba ugumu hata kama hauna ulazima utengenezwe sababu wanalipwa mishahara mikubwa sio? Hahaha.
Ugumu umetengenezwa boss sababu ratiba inataka kama kuna ugumu wa ratiba ndipo minimum time ya kupumzika iwe siku mbili, zikikosekana basi mechi ihairishwe, sasa kuna ugumu gani wa ratiba kulazimisha mechi zichezwe ndani ya hizo siku mbili?Hakuna ugumu uliotengenezwa. Kanuni inataka timu ipumzike siku mbili kabla ya kucheza mechi inayofuata. Angalia hizo ratiba uone kama hakuna interval ya angalao siku mbili kwa kila mechi.
Mazingira yapo sawa,wewe unazani UEFA timu zinasafiri km ngapi? Hapo taifa na kwenu Msimbazi/Bunju kuna umbali gani? Kwanza kwa timu Kkoo za Kkoo ndio zinaongozwa kubebwa, mfano msimu wa juzi tu wewe ulihairisha mechi masaa mawili kabla ya mechi kuanza na Kagera Sugar ,huku ukitoa sababu ya kwamba timu ina majeruhi wengi, juzi umegoma kwa sababu ya kijinga halafu unasema hamna Fairness,mfano hivi ulivyo vifanya angevifanya Azam/Kagera/JKT nk unazani wangepewa upendeleo kama uliopewa wewe? Halafu unasema hamna Fairness.Unajua unakosea sana unapolinganisha ulaya na Africa. Binafsi hapa kwetu tu huwa nasema hakuna fairness kwenye ligi sababu mazingira ya usawa baina ya timu hakuna sasa wewe unalinganisha ulaya na Africa tena chini ya jangwa la sahara? Huku ambapo Yanga/Simba inakutana na timu ambayo imesafiri na basi bovu kukutana na mpinzani ilihali wao wanakwenda kwa ndege? Huwezi linganisha EPL na NBC.
Sasa mbona unasapoti hoja kwa malalamiko ya kupinga hoja? Hahaha.Mazingira ya sawa,wewe unazani UEFA timu zinasafiri km ngapi? Hapo taifa na kwenu Msimbazi/Bunju kuna umbali gani? Kwanza kwa timu Kkoo za Kkoo ndio zinaongozwa kubebwa, mfano msimu wa juzi tu wewe ulihairisha mechi masaa mawili kabla ya mechi kuanza na Kagera Sugar ,huku ukitoa sababu ya kwamba timu ina majeruhi wengi, juzi umegoma kwa sababu ya kijinga halafu unasema hamna Fairness,mfano hivi ulivyo vifanya angevifanya Azam/Kagera/JKT unazani wangepewa upendeleo kama uliopewa wewe? Halafu unasema hamna Fairness.
Hakuna ugumu uliotengenezwa mkuu kwa sababu hizo game mbili za natamasha yao na ngao ya hisani sio official kwenye kalenda ya FIFA. Kwaiyo makocha wanaweza kupanga wachezaji kwa kuangalia umuhimu wa mechiUgumu umetengenezwa boss sababu ratiba inataka kama kuna ugumu wa ratiba ndipo minimum time ya kupumzika iwe siku mbili, zikikosekana basi mechi ihairishwe, sasa kuna ugumu gani wa ratiba kulazimisha mechi zichezwe ndani ya hizo siku mbili?
Nimeishambulia hiyo timu ya KKoo kusema hakuna fairness, labda useme kwa timu nyingine ila si kwa timu za Kkoo timu zinabebwa ndani na nje ya uwanja. Ndio maana nimekupa mifano halisi, nimekuuliza ingekuwa Azam/JKT nk unazani wangependelewa kama wewe.Sasa mbona unasapoti hoja kwa malalamiko ya kupinga hoja? Hahaha.
Nimetoka kukuambia hakuna usawa unaojitosheleza wewe kulinganisha mazingira ya ulaya na Africa esp hapa kwetu halafu wewe unatoa tena mfano unaothibitisha hilo ila kwa kuishambulia Simba. Simba kuwa mnifaika wa mazingira ilipaswa kwa uthibitisho wa hoja kuwa mazingira ya ulaya na hapa hayafanani.
Yaani, huwezi linganisha mazingira ya ulaya na hapa kwetu kwa sababu hayalingani. Hivyo usitoe mifano ya EPL kama rejea ya NBC sababu ni mbingu na ardhi.
Mfano mzuri ni hapa tu mwanzoni mwa msimu kupanga ratiba ngumu ya michezo pasipo ulazima.
Huko CAF una kombe gani au lile la rankYanga wanaiwaza Simba.
Simba inaziwaza mechi za CAF.
Mkuu, binafsi naona ugumu unatengenezwa kwa sababu ngao ya jamii imepelekwa mbele mno ilihali kuna tarehe hapa nyuma ingeweza kuchezwa.Hakuna ugumu uliotengenezwa mkuu kwa sababu hizo game mbili za natamasha yao na ngao ya hisani sio official kwenye kalenda ya FIFA. Kwaiyo makocha wanaweza kupanga wachezaji kwa kuangalia umuhimu wa mechi
Ndio maana tunawazia huko CAF tusikokuwa na ubingwa. Utawazaje timu ambayo ipo kwenye ligi uliyochukua ubingwa mara nyingi? Hadi Majimaji iishakuwa bingwa, bado unawekeza tu nguvu hukoHuko CAF una kombe gani au lile la rank
Boyeli huyu aliyemaliza msimu na goli 3 ? 😃Ndugu yangu boyeli hachezi ngao ya jamii leteni team
Hata kama mechi ingepangwa mapema hao simba wangetafuta tu sababu. Simba wana inferiority complex mbele ya yanga. linapokuja suala la kucheza na yanga kwa sasa simba akili yao inaweweseka.Mkuu, binafsi naona ugumu unatengenezwa kwa sababu ngao ya jamii imepelekwa mbele mno ilihali kuna tarehe hapa nyuma ingeweza kuchezwa.
Yaani mfano watoto wako pale nyumbani wanaweza kufanya usafi siku ya jumamosi ila unawaambia wafanye jumatatu alfajiri na wanatakiwa waende shule. Japo wanaweza kufanya alfajiri ya jumatatu, lakini kwanini wasifanye jumamosi au jumapili ?