Simba wasitafute mchawi ...mchawi wa simba namba1 ni Ahmed Ally...siku huyu jamaa atakapofukuzwa kazi simba itarudi kwenye ubora wake

Ahmed Ally anacheza namba ngapi?
 
Umeelewa mada mkuu au umekurupuka usingizini
 
Inamana hujui kwamba hata mashabiki au vyote vya habari vinaweza kuhathiri performance ya timu au ya mchezaji mmoja mmoja....perforamnce ya wachezaji inaanzia kwenye saikolojia yake na saikolojia ya mchezaji inaweza kuharibiwa na sifa za uongo uongo anazopewa....kocha hata akiweka maarifa yake inakua kazi bure..kama hujui mpira ni bora ukakaa kimya mkuu
 
Sisi tunaojua Mpira Wala uyo Ahmed Aly uwa atumzingatii tunajua anatetea ugali wake anajaribu kutaka kumfunika manara aliyokuwa anafanya akiwa Simba lakini anachemka vibaya sana,,
 
Kwa hiyo unataka kusema wachezaji wanamsikiliza msemaji badala ya kocha katika masuala ya kiufundi? Kama ni kweli, basi hao wachezaji watakuwa na matatizo makubwa sana.
Mwenye matatizo ni mleta màda, ana bifu na Ahmed Ally. Toka lini semaji akapanga kikosi hapo Simba?
 
Usimlaumu, mfumo wa siasa za CCM za kusifia Sifia hovyo bila mantiki umewaathiri hadi wasemaji wa hizi klabu zetu za mpira, nyeupe atakwambia nyeusi na nyeusi atakwambia nyeupe
 
Sisi tunaojua Mpira Wala uyo Ahmed Aly uwa atumzingatii tunajua anatetea ugali wake anajaribu kutaka kumfunika manara aliyokuwa anafanya akiwa Simba lakini anachemka vibaya sana,,
Mnaoujua mpira mmeisaidiaje simba hadi sasa? Mwaka wa nne sasa mnaojua Mpira mpo tu jf kama mazuzu timu linazidi kuwa utopolo.
Acha Ahmed Ally awafundishe mpira keyboard worriers.
 
Mimi sio kolo, lakini sioni shida ya Ahmed Ally kama msemaji wa makolo. Naona anafanya vema majukumu yake.
 
Acha kutetea upumbavu
 
Kwani yeye ndiye kocha mpaka umlaumu?
 
Na ww bwanaaa hahahaa..mwandishi kasomea chuo gani
 
Kwamba wachezaji wanamsikiliza semaji na sio kocha na benchi lake la ufundi?
 
Sisi tunaojua Mpira Wala uyo Ahmed Aly uwa atumzingatii tunajua anatetea ugali wake anajaribu kutaka kumfunika manara aliyokuwa anafanya akiwa Simba lakini anachemka vibaya sana,,
Mpk sasa huyo Manara aliekua anawatukana na kuwakashfu kumbe ndo ulikua unaona raha ee..yani mtu aliekua anawapa maneno mazito mpk matusi leo ndo unamuona bora kuliko mtu anaefanya utani wa jadi yy na Aly uwe utani wa staha unamuona anachemka...buhahaha kweli akili ni nywele...haya Manara kama alifanya vzr mbona huko kwenu nyuma mwiko hata kumpa tuu ile nafasi ya uhamasishaji aliyojiweka mmemkataa......
 
Hivi ni mimi tu au na ninyi wenzangu mnawaona hamnazo hawa wanalalamikia hao wasemaji wa timu??

Ahmed Ally hapangi kikosi si ajabu na yeye baadhi ya mechi kikosi anakijua lisaa kabla ya mechi kama sisi tu, yeye ni mhamasishaji, kubalnce story na kuwakeep calm mashabiki

Huyu jamaa anaifanya kazi yake vyema sana, si kazi yake kuwakemea wachezaji wakikosea, sio kazi yake kusahihisha makosa ya wachezaji sio kazi yake kusajili wachezaji.

Kama ilivyo kwa wabongo wengi hawapendi kufata taratibu, wanataka Ahmed atoke hadharani kulisema vibaya benchi la ufundi, kuwananga baadhi ya wachezaji nk ,mleta uzi uko sawa kweli??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…