Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeelewa mada mkuu au umekurupuka usingiziniHuo ni uongoooooo....kila mwanasimba anaogopa kuikosoa Simba wapi?? Umeingia page ya Simba baada ya matokeo jana? .sio nyie utopolo mlikua mnasema kwamba mashabiki wa Simba hawana uvumilivu..haya baadhi wameanza kukaa na timu yao na kuvumilia na kuwapa muda mnaibuka tena mnataka wapige kelele??
Inamana hujui kwamba hata mashabiki au vyote vya habari vinaweza kuhathiri performance ya timu au ya mchezaji mmoja mmoja....perforamnce ya wachezaji inaanzia kwenye saikolojia yake na saikolojia ya mchezaji inaweza kuharibiwa na sifa za uongo uongo anazopewa....kocha hata akiweka maarifa yake inakua kazi bure..kama hujui mpira ni bora ukakaa kimya mkuuHAYA NI MAAJABU...
Msemaji wa timu anawezaje kuathiri performance ya timu? Timu ina kocha mkuu, kocha wa makipa, kocha wa mazoezi ya viungo, daktari, na watu wengine wa mambo ya ufundi. Ninadhani hao ndo wenye majibu. Sijawahi kuona timu imefanya vibaya akafukuzwa msemaji... HAKIKA HAYA NI MAAJAABU.
Kama hujui boli kaa kimya acha watu wanaojua boli watoe maoni yaoYY anacheza NAMBA ngapi? Acha wivu.
KAZI ni kipimo cha utu
Sisi tunaojua Mpira Wala uyo Ahmed Aly uwa atumzingatii tunajua anatetea ugali wake anajaribu kutaka kumfunika manara aliyokuwa anafanya akiwa Simba lakini anachemka vibaya sana,,Kosa kubwa la Ahmed Ally ni ubinafsi na kulinda kibarua chake kuliko kupigania ubora wa timu...anatumia nguvu nyingi sana kushindana na kina Ally Kamwe na na akina Hashim Ibwe ili aonekane kama yeye ndo semaji namba1 wa mpira hapa nchini.Simba inahitaji wachezaii wake waambiwe ukweli kwasababu wengi ni maingizo mapya na bado wapo katika mchakato wa kuijenga timu.kusifiasifa tu kiboya ni kuwalemaza wachezaji na kuwafanya wabweteke.Aache kabisa kumuiga ally kamwe na masifa yake yeye tayari anakikosa ambacho kimekaa pamoja mda mrefu na tayari ana timu ya ushindani
Ahemd Ally Hataki kabisa kuuzungumzia mpira ila yeye muda mwingi anautumia kusifia ujinga na kuwaaminisha wanasimba wenzie kua tayari simba ina kikosi bora na kikosi cha ushindani lakini kama wewe ni mtu wa mpira ukiona jinsi simba inavyocheza uwanjani utangundua timu bado ina mapungufu mengi sana ya kiufundi...wachezaji hawajitumi na mda mwingi wanapiga back pass na hata wakilazimisha kwenda mbele mipira mingi inapotea kizembe.Mashabiki wa simba walio wengi wameingia kwenye mtego wa
Ahmed Ally hawataki tena kuikosoa timu yao na sasa wameingia kwnye propaganda kua simba inaonewa na marefa na yanga wananunua mechi kupitia kuhonga marefa na udhamini wa gsm na ndomana wanafanikiwa...ila ukitizama "workrate" ya wachezaji wa yanga uwanjani ambao wananunua mechi na "workrate" ya wachezaji wa simba ambao hawanunui mechi ni mbingu na ardhi.
Kwenye mitandao ya kijamii Ahmed Ally ametengeza group la mashabiki wanaojiita "simba influencer" ambao kazi yako ni kuisifia tu timu hata kama haichezi vzr na akitokea mshabiki yeyote wa simba atakaeiongelea simba vibaya basi ataonekana ni mamluki na ametumwa na yanga.Ahmed Ally anatakiwa awaache wanasimba wawe huru kuelezea hisia zao hata kama ni hisia hasi juu ya timu yao kwasababu kukosoa wakati mwingine ndio kujenga.Hawa influencers wamekua kama machawa wa timu na hawako kwa ajilu ya maendeleo ya timu ila wako kwa ajili ya maslahi yao banafsi kwasababu wanaopewa hela za nauli na posho za safari na kujikimu pamoja na viingilio kokote timu inapokwenda..ila ukiwaona kwa jicho la pili unaweza kuwaona kama ndo wapenzi wa simba namba moja ila kiukweli hawa ni machawa tu wa Ahmed Ally na wapo kwa mslahi binafsi ya matumbo yao na sio kwa maslahi ya timu.Hata waandishi wa habari wanaowahoji kila siku kwenye mitandao pia wanalipwa kwa ajili ya kueneza propaganda zao
Kila mwanasimba sasa anaogopa kuikosoa timu yake kwa propaganda zilizotengenezwa na Ahmed Ally ndomana wachezaji wa simba wanabweteka na hawajitumi kwasababu wanajiona tayari wameshakua wakubwa kwa kauli za kuwasifia kila siku za msemaji wao Ahmed Ally lakini impact yao kiwanjani ni ndogo sana
Wanasimba kama wanahitaji timu yao iwe bora waachane na propaganda za Ahmed Ally badala yake wasifie panapohitajika kusifiwa na wakosoe panapohitajika kukosolewa na pia wakubali kujifunza kutoka kwa watanu wao ambao hakuna ubishi wowote kua kwasasa ndio klabu yenye kikosi bora na ndio mabingwa wa nchi misimu mitatu mfululizo
Mytake:
Ahmed Ally anatakiwa ajiuzulu kazi yake ya usemaji kwa maslahi mapana ya klabu kwasababu yeye ndo adui namba1 wa simbaView attachment 3249216
Mwenye matatizo ni mleta màda, ana bifu na Ahmed Ally. Toka lini semaji akapanga kikosi hapo Simba?Kwa hiyo unataka kusema wachezaji wanamsikiliza msemaji badala ya kocha katika masuala ya kiufundi? Kama ni kweli, basi hao wachezaji watakuwa na matatizo makubwa sana.
Usimlaumu, mfumo wa siasa za CCM za kusifia Sifia hovyo bila mantiki umewaathiri hadi wasemaji wa hizi klabu zetu za mpira, nyeupe atakwambia nyeusi na nyeusi atakwambia nyeupeKosa kubwa la Ahmed Ally ni ubinafsi na kulinda kibarua chake kuliko kupigania ubora wa timu...anatumia nguvu nyingi sana kushindana na kina Ally Kamwe na na akina Hashim Ibwe ili aonekane kama yeye ndo semaji namba1 wa mpira hapa nchini.Simba inahitaji wachezaii wake waambiwe ukweli kwasababu wengi ni maingizo mapya na bado wapo katika mchakato wa kuijenga timu.kusifiasifa tu kiboya ni kuwalemaza wachezaji na kuwafanya wabweteke.Aache kabisa kumuiga ally kamwe na masifa yake yeye tayari anakikosa ambacho kimekaa pamoja mda mrefu na tayari ana timu ya ushindani
Ahemd Ally Hataki kabisa kuuzungumzia mpira ila yeye muda mwingi anautumia kusifia ujinga na kuwaaminisha wanasimba wenzie kua tayari simba ina kikosi bora na kikosi cha ushindani lakini kama wewe ni mtu wa mpira ukiona jinsi simba inavyocheza uwanjani utangundua timu bado ina mapungufu mengi sana ya kiufundi...wachezaji hawajitumi na mda mwingi wanapiga back pass na hata wakilazimisha kwenda mbele mipira mingi inapotea kizembe.Mashabiki wa simba walio wengi wameingia kwenye mtego wa
Ahmed Ally hawataki tena kuikosoa timu yao na sasa wameingia kwnye propaganda kua simba inaonewa na marefa na yanga wananunua mechi kupitia kuhonga marefa na udhamini wa gsm na ndomana wanafanikiwa...ila ukitizama "workrate" ya wachezaji wa yanga uwanjani ambao wananunua mechi na "workrate" ya wachezaji wa simba ambao hawanunui mechi ni mbingu na ardhi.
Kwenye mitandao ya kijamii Ahmed Ally ametengeza group la mashabiki wanaojiita "simba influencer" ambao kazi yako ni kuisifia tu timu hata kama haichezi vzr na akitokea mshabiki yeyote wa simba atakaeiongelea simba vibaya basi ataonekana ni mamluki na ametumwa na yanga.Ahmed Ally anatakiwa awaache wanasimba wawe huru kuelezea hisia zao hata kama ni hisia hasi juu ya timu yao kwasababu kukosoa wakati mwingine ndio kujenga.Hawa influencers wamekua kama machawa wa timu na hawako kwa ajilu ya maendeleo ya timu ila wako kwa ajili ya maslahi yao banafsi kwasababu wanaopewa hela za nauli na posho za safari na kujikimu pamoja na viingilio kokote timu inapokwenda..ila ukiwaona kwa jicho la pili unaweza kuwaona kama ndo wapenzi wa simba namba moja ila kiukweli hawa ni machawa tu wa Ahmed Ally na wapo kwa mslahi binafsi ya matumbo yao na sio kwa maslahi ya timu.Hata waandishi wa habari wanaowahoji kila siku kwenye mitandao pia wanalipwa kwa ajili ya kueneza propaganda zao
Kila mwanasimba sasa anaogopa kuikosoa timu yake kwa propaganda zilizotengenezwa na Ahmed Ally ndomana wachezaji wa simba wanabweteka na hawajitumi kwasababu wanajiona tayari wameshakua wakubwa kwa kauli za kuwasifia kila siku za msemaji wao Ahmed Ally lakini impact yao kiwanjani ni ndogo sana
Wanasimba kama wanahitaji timu yao iwe bora waachane na propaganda za Ahmed Ally badala yake wasifie panapohitajika kusifiwa na wakosoe panapohitajika kukosolewa na pia wakubali kujifunza kutoka kwa watanu wao ambao hakuna ubishi wowote kua kwasasa ndio klabu yenye kikosi bora na ndio mabingwa wa nchi misimu mitatu mfululizo
Mytake:
Ahmed Ally anatakiwa ajiuzulu kazi yake ya usemaji kwa maslahi mapana ya klabu kwasababu yeye ndo adui namba1 wa simbaView attachment 3249216
Mnaoujua mpira mmeisaidiaje simba hadi sasa? Mwaka wa nne sasa mnaojua Mpira mpo tu jf kama mazuzu timu linazidi kuwa utopolo.Sisi tunaojua Mpira Wala uyo Ahmed Aly uwa atumzingatii tunajua anatetea ugali wake anajaribu kutaka kumfunika manara aliyokuwa anafanya akiwa Simba lakini anachemka vibaya sana,,
Mimi sio kolo, lakini sioni shida ya Ahmed Ally kama msemaji wa makolo. Naona anafanya vema majukumu yake.Kosa kubwa la Ahmed Ally ni ubinafsi na kulinda kibarua chake kuliko kupigania ubora wa timu...anatumia nguvu nyingi sana kushindana na kina Ally Kamwe na na akina Hashim Ibwe ili aonekane kama yeye ndo semaji namba1 wa mpira hapa nchini.Simba inahitaji wachezaii wake waambiwe ukweli kwasababu wengi ni maingizo mapya na bado wapo katika mchakato wa kuijenga timu.kusifiasifa tu kiboya ni kuwalemaza wachezaji na kuwafanya wabweteke.Aache kabisa kumuiga ally kamwe na masifa yake yeye tayari anakikosa ambacho kimekaa pamoja mda mrefu na tayari ana timu ya ushindani
Ahemd Ally Hataki kabisa kuuzungumzia mpira ila yeye muda mwingi anautumia kusifia ujinga na kuwaaminisha wanasimba wenzie kua tayari simba ina kikosi bora na kikosi cha ushindani lakini kama wewe ni mtu wa mpira ukiona jinsi simba inavyocheza uwanjani utangundua timu bado ina mapungufu mengi sana ya kiufundi...wachezaji hawajitumi na mda mwingi wanapiga back pass na hata wakilazimisha kwenda mbele mipira mingi inapotea kizembe.Mashabiki wa simba walio wengi wameingia kwenye mtego wa
Ahmed Ally hawataki tena kuikosoa timu yao na sasa wameingia kwnye propaganda kua simba inaonewa na marefa na yanga wananunua mechi kupitia kuhonga marefa na udhamini wa gsm na ndomana wanafanikiwa...ila ukitizama "workrate" ya wachezaji wa yanga uwanjani ambao wananunua mechi na "workrate" ya wachezaji wa simba ambao hawanunui mechi ni mbingu na ardhi.
Kwenye mitandao ya kijamii Ahmed Ally ametengeza group la mashabiki wanaojiita "simba influencer" ambao kazi yako ni kuisifia tu timu hata kama haichezi vzr na akitokea mshabiki yeyote wa simba atakaeiongelea simba vibaya basi ataonekana ni mamluki na ametumwa na yanga.Ahmed Ally anatakiwa awaache wanasimba wawe huru kuelezea hisia zao hata kama ni hisia hasi juu ya timu yao kwasababu kukosoa wakati mwingine ndio kujenga.Hawa influencers wamekua kama machawa wa timu na hawako kwa ajilu ya maendeleo ya timu ila wako kwa ajili ya maslahi yao banafsi kwasababu wanaopewa hela za nauli na posho za safari na kujikimu pamoja na viingilio kokote timu inapokwenda..ila ukiwaona kwa jicho la pili unaweza kuwaona kama ndo wapenzi wa simba namba moja ila kiukweli hawa ni machawa tu wa Ahmed Ally na wapo kwa mslahi binafsi ya matumbo yao na sio kwa maslahi ya timu.Hata waandishi wa habari wanaowahoji kila siku kwenye mitandao pia wanalipwa kwa ajili ya kueneza propaganda zao
Kila mwanasimba sasa anaogopa kuikosoa timu yake kwa propaganda zilizotengenezwa na Ahmed Ally ndomana wachezaji wa simba wanabweteka na hawajitumi kwasababu wanajiona tayari wameshakua wakubwa kwa kauli za kuwasifia kila siku za msemaji wao Ahmed Ally lakini impact yao kiwanjani ni ndogo sana
Wanasimba kama wanahitaji timu yao iwe bora waachane na propaganda za Ahmed Ally badala yake wasifie panapohitajika kusifiwa na wakosoe panapohitajika kukosolewa na pia wakubali kujifunza kutoka kwa watanu wao ambao hakuna ubishi wowote kua kwasasa ndio klabu yenye kikosi bora na ndio mabingwa wa nchi misimu mitatu mfululizo
Mytake:
Ahmed Ally anatakiwa ajiuzulu kazi yake ya usemaji kwa maslahi mapana ya klabu kwasababu yeye ndo adui namba1 wa simbaView attachment 3249216
Angalia usije ukachinjwa wewe.Kuna mnyama tunaenda kuchinja Tarehe 8 kwa Lupaso
Acha kutetea upumbavuInamana hujui kwamba hata mashabiki au vyote vya habari vinaweza kuhathiri performance ya timu au ya mchezaji mmoja mmoja....perforamnce ya wachezaji inaanzia kwenye saikolojia yake na saikolojia ya mchezaji inaweza kuharibiwa na sifa za uongo uongo anazopewa....kocha hata akiweka maarifa yake inakua kazi bure..kama hujui mpira ni bora ukakaa kimya mkuu
Kwani yeye ndiye kocha mpaka umlaumu?Kosa kubwa la Ahmed Ally ni ubinafsi na kulinda kibarua chake kuliko kupigania ubora wa timu...anatumia nguvu nyingi sana kushindana na kina Ally Kamwe na na akina Hashim Ibwe ili aonekane kama yeye ndo semaji namba1 wa mpira hapa nchini.Simba inahitaji wachezaii wake waambiwe ukweli kwasababu wengi ni maingizo mapya na bado wapo katika mchakato wa kuijenga timu.kusifiasifa tu kiboya ni kuwalemaza wachezaji na kuwafanya wabweteke.Aache kabisa kumuiga ally kamwe na masifa yake yeye tayari anakikosa ambacho kimekaa pamoja mda mrefu na tayari ana timu ya ushindani
Ahemd Ally Hataki kabisa kuuzungumzia mpira ila yeye muda mwingi anautumia kusifia ujinga na kuwaaminisha wanasimba wenzie kua tayari simba ina kikosi bora na kikosi cha ushindani lakini kama wewe ni mtu wa mpira ukiona jinsi simba inavyocheza uwanjani utangundua timu bado ina mapungufu mengi sana ya kiufundi...wachezaji hawajitumi na mda mwingi wanapiga back pass na hata wakilazimisha kwenda mbele mipira mingi inapotea kizembe.Mashabiki wa simba walio wengi wameingia kwenye mtego wa
Ahmed Ally hawataki tena kuikosoa timu yao na sasa wameingia kwnye propaganda kua simba inaonewa na marefa na yanga wananunua mechi kupitia kuhonga marefa na udhamini wa gsm na ndomana wanafanikiwa...ila ukitizama "workrate" ya wachezaji wa yanga uwanjani ambao wananunua mechi na "workrate" ya wachezaji wa simba ambao hawanunui mechi ni mbingu na ardhi.
Kwenye mitandao ya kijamii Ahmed Ally ametengeza group la mashabiki wanaojiita "simba influencer" ambao kazi yako ni kuisifia tu timu hata kama haichezi vzr na akitokea mshabiki yeyote wa simba atakaeiongelea simba vibaya basi ataonekana ni mamluki na ametumwa na yanga.Ahmed Ally anatakiwa awaache wanasimba wawe huru kuelezea hisia zao hata kama ni hisia hasi juu ya timu yao kwasababu kukosoa wakati mwingine ndio kujenga.Hawa influencers wamekua kama machawa wa timu na hawako kwa ajilu ya maendeleo ya timu ila wako kwa ajili ya maslahi yao banafsi kwasababu wanaopewa hela za nauli na posho za safari na kujikimu pamoja na viingilio kokote timu inapokwenda..ila ukiwaona kwa jicho la pili unaweza kuwaona kama ndo wapenzi wa simba namba moja ila kiukweli hawa ni machawa tu wa Ahmed Ally na wapo kwa mslahi binafsi ya matumbo yao na sio kwa maslahi ya timu.Hata waandishi wa habari wanaowahoji kila siku kwenye mitandao pia wanalipwa kwa ajili ya kueneza propaganda zao
Kila mwanasimba sasa anaogopa kuikosoa timu yake kwa propaganda zilizotengenezwa na Ahmed Ally ndomana wachezaji wa simba wanabweteka na hawajitumi kwasababu wanajiona tayari wameshakua wakubwa kwa kauli za kuwasifia kila siku za msemaji wao Ahmed Ally lakini impact yao kiwanjani ni ndogo sana
Wanasimba kama wanahitaji timu yao iwe bora waachane na propaganda za Ahmed Ally badala yake wasifie panapohitajika kusifiwa na wakosoe panapohitajika kukosolewa na pia wakubali kujifunza kutoka kwa watanu wao ambao hakuna ubishi wowote kua kwasasa ndio klabu yenye kikosi bora na ndio mabingwa wa nchi misimu mitatu mfululizo
Mytake:
Ahmed Ally anatakiwa ajiuzulu kazi yake ya usemaji kwa maslahi mapana ya klabu kwasababu yeye ndo adui namba1 wa simbaView attachment 3249216
Na ww bwanaaa hahahaa..mwandishi kasomea chuo ganiNdugu lazima ujuee kuwatofautisha awa wasemaji, Ahmed Ally ni mchekeshaji katika fani, Ally Kamwe ni Mwandishi na amesha andika Makala za kutosha kuusaidia mpira wa Tanzania.
Alishafanya kazi chimi ya wataaluma wa uandishi na habari za michezo apo kabla chini ya (Bumbuli) Ana Leseni ya ukocha CAF Daraja C, ameshakua Mchambuzi wa mpira wa Miguu pale Azam.
Ally Kamwe ana uzoefu na ufahamu wa soka letu kwa muda mrefu kuliko Ahmed Ally.
Kwamba wachezaji wanamsikiliza semaji na sio kocha na benchi lake la ufundi?Kosa kubwa la Ahmed Ally ni ubinafsi na kulinda kibarua chake kuliko kupigania ubora wa timu...anatumia nguvu nyingi sana kushindana na kina Ally Kamwe na na akina Hashim Ibwe ili aonekane kama yeye ndo semaji namba1 wa mpira hapa nchini.Simba inahitaji wachezaii wake waambiwe ukweli kwasababu wengi ni maingizo mapya na bado wapo katika mchakato wa kuijenga timu.kusifiasifa tu kiboya ni kuwalemaza wachezaji na kuwafanya wabweteke.Aache kabisa kumuiga ally kamwe na masifa yake yeye tayari anakikosa ambacho kimekaa pamoja mda mrefu na tayari ana timu ya ushindani
Ahemd Ally Hataki kabisa kuuzungumzia mpira ila yeye muda mwingi anautumia kusifia ujinga na kuwaaminisha wanasimba wenzie kua tayari simba ina kikosi bora na kikosi cha ushindani lakini kama wewe ni mtu wa mpira ukiona jinsi simba inavyocheza uwanjani utangundua timu bado ina mapungufu mengi sana ya kiufundi...wachezaji hawajitumi na mda mwingi wanapiga back pass na hata wakilazimisha kwenda mbele mipira mingi inapotea kizembe.Mashabiki wa simba walio wengi wameingia kwenye mtego wa
Ahmed Ally hawataki tena kuikosoa timu yao na sasa wameingia kwnye propaganda kua simba inaonewa na marefa na yanga wananunua mechi kupitia kuhonga marefa na udhamini wa gsm na ndomana wanafanikiwa...ila ukitizama "workrate" ya wachezaji wa yanga uwanjani ambao wananunua mechi na "workrate" ya wachezaji wa simba ambao hawanunui mechi ni mbingu na ardhi.
Kwenye mitandao ya kijamii Ahmed Ally ametengeza group la mashabiki wanaojiita "simba influencer" ambao kazi yako ni kuisifia tu timu hata kama haichezi vzr na akitokea mshabiki yeyote wa simba atakaeiongelea simba vibaya basi ataonekana ni mamluki na ametumwa na yanga.Ahmed Ally anatakiwa awaache wanasimba wawe huru kuelezea hisia zao hata kama ni hisia hasi juu ya timu yao kwasababu kukosoa wakati mwingine ndio kujenga.Hawa influencers wamekua kama machawa wa timu na hawako kwa ajilu ya maendeleo ya timu ila wako kwa ajili ya maslahi yao banafsi kwasababu wanaopewa hela za nauli na posho za safari na kujikimu pamoja na viingilio kokote timu inapokwenda..ila ukiwaona kwa jicho la pili unaweza kuwaona kama ndo wapenzi wa simba namba moja ila kiukweli hawa ni machawa tu wa Ahmed Ally na wapo kwa mslahi binafsi ya matumbo yao na sio kwa maslahi ya timu.Hata waandishi wa habari wanaowahoji kila siku kwenye mitandao pia wanalipwa kwa ajili ya kueneza propaganda zao
Kila mwanasimba sasa anaogopa kuikosoa timu yake kwa propaganda zilizotengenezwa na Ahmed Ally ndomana wachezaji wa simba wanabweteka na hawajitumi kwasababu wanajiona tayari wameshakua wakubwa kwa kauli za kuwasifia kila siku za msemaji wao Ahmed Ally lakini impact yao kiwanjani ni ndogo sana
Wanasimba kama wanahitaji timu yao iwe bora waachane na propaganda za Ahmed Ally badala yake wasifie panapohitajika kusifiwa na wakosoe panapohitajika kukosolewa na pia wakubali kujifunza kutoka kwa watanu wao ambao hakuna ubishi wowote kua kwasasa ndio klabu yenye kikosi bora na ndio mabingwa wa nchi misimu mitatu mfululizo
Mytake:
Ahmed Ally anatakiwa ajiuzulu kazi yake ya usemaji kwa maslahi mapana ya klabu kwasababu yeye ndo adui namba1 wa simbaView attachment 3249216
Mpk sasa huyo Manara aliekua anawatukana na kuwakashfu kumbe ndo ulikua unaona raha ee..yani mtu aliekua anawapa maneno mazito mpk matusi leo ndo unamuona bora kuliko mtu anaefanya utani wa jadi yy na Aly uwe utani wa staha unamuona anachemka...buhahaha kweli akili ni nywele...haya Manara kama alifanya vzr mbona huko kwenu nyuma mwiko hata kumpa tuu ile nafasi ya uhamasishaji aliyojiweka mmemkataa......Sisi tunaojua Mpira Wala uyo Ahmed Aly uwa atumzingatii tunajua anatetea ugali wake anajaribu kutaka kumfunika manara aliyokuwa anafanya akiwa Simba lakini anachemka vibaya sana,,
hebu mtaje tumjue unaemtaja hapo...Huyo tikiti huwa anakurupukaga tu, empty headed
Nimeelewa na nimekujibu vyema kabisa...Umeelewa mada mkuu au umekurupuka usingizini