Simba wataenda uwanja gani kupata point 3 hiyo tarehe 15?

Kabudi amewakalisha yanga wakakataa katu hawachezi.
 
Raisi wa manzese labda
 
Hao utopolo wakicheza nitawaona Mazuzu sana....
Wasimamie kucha hivyo hivyo
Wakibadili mawazo nitawaita malofa mpk mwisho wa dahari...

Kuliko nyie πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hao utopolo wakicheza nitawaona Mazuzu sana....
Wasimamie kucha hivyo hivyo
Wakibadili mawazo nitawaita malofa mpk mwisho wa dahari...
Bro ,Miaka ya nyumba.
Tuseme kuikimbia ndio itaeleweka.
Simba ishawah kuikimbia Yanga.
Yanga ishawahi kuikimbia SimbaZ

Tena zaidi mara moja.
Na point 3 na magoli 3 anapewa timu iliyopo uwanjani.

Tofauti sasa kipind hiki , mamlaka iliahirisha mechi ile. Masaa kadhaa kabla. Kwahiyo hapa sio Kuikimbia Timu nyingne.
(Iwe walikosea au walipatia- tuiweke pemben).

Kama mamlaka imetoa tar nyingne.
Yanga wanapaswa wapeleke Timu uwanjani.

Ni hayo tu.
 
Kama nyie wanaume kweli simamieni hiyo hatuchezi yenu....
Msiseme wametumbeleza mara ooh rais alipiga simu...
La sivyo uzuz utakua umetaradadi...
Na ulofa juu yake

Hakuna ulofa utakaopita huu wakubeba mimba πŸ˜‚πŸ˜‚.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ Logic yako iko wapi hapa? Unaweza kutoa sababu za kuhairishwa mechi?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…