Castle_Lite
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 4,646
- 10,442
Kabisa.Mechi lazima hii iamue vitu viwili
1. Timu ziiingie uwanjani au
2. Timu moja ipewe ushindi na nyingine kupoteza endapo isipotokea uwanjani. Sheria zitaamua hili nawaeleza
Okey bro pamoja jombaa...Bro ,Miaka ya nyumba.
Tuseme kuikimbia ndio itaeleweka.
Simba ishawah kuikimbia Yanga.
Yanga ishawahi kuikimbia SimbaZ
Tena zaidi mara moja.
Na point 3 na magoli 3 anapewa timu iliyopo uwanjani.
Tofauti sasa kipind hiki , mamlaka iliahirisha mechi ile. Masaa kadhaa kabla. Kwahiyo hapa sio Kuikimbia Timu nyingne.
(Iwe walikosea au walipatia- tuiweke pemben).
Kama mamlaka imetoa tar nyingne.
Yanga wanapaswa wapeleke Timu uwanjani.
Ni hayo tu.
Venue ya mwanzo ni ipi kwaniKama YANGA hawato andaa Mchezo wa Tarehe 15 Ina maana Simba watakuwa hawajui waende Uwanja Upi ili wapate hizo point tatu, Kwasababu mwenyeji hajasema Venue..!!
Hii movie ni Kali sana 🙌🏻🙌🏻
Mimba mnazo nyie maana mnatema mate mji mzima...
Malofa wakubwa...
Na tunataka tuone uanaume wenu wa kusema hatuchezi msije na kisingizio vyura wenye mayai nyie...
Kwan ni bro sio bidada😂😂Bro ,Miaka ya nyumba.
Tuseme kuikimbia ndio itaeleweka.
Simba ishawah kuikimbia Yanga.
Yanga ishawahi kuikimbia SimbaZ
Tena zaidi mara moja.
Na point 3 na magoli 3 anapewa timu iliyopo uwanjani.
Tofauti sasa kipind hiki , mamlaka iliahirisha mechi ile. Masaa kadhaa kabla. Kwahiyo hapa sio Kuikimbia Timu nyingne.
(Iwe walikosea au walipatia- tuiweke pemben).
Kama mamlaka imetoa tar nyingne.
Yanga wanapaswa wapeleke Timu uwanjani.
Ni hayo tu.
Kwa hiyo utopolo ndio inapanga refa na kamisaa? JK na. Baba Haji tuInacheza Taifa stars?
Nyie Vinye Fc ndo nawaambieni kazeni hvyo hivyo tusione mnakuja na ngonjera mpya...View attachment 3354948
Sisi hatuna muda na hiyo mechi ndio maana hata haipigiwi promo!. Wenye visididi vyenubvinawawasha ndio mpo busy kuitangaza😂😂 wewe ushaona page ya yanga wanatangaza huo upuuzi zaidi ya bodi ya ligi na Wapakwa mafuta fc
Yanga hata ikinyang'anywa point 15 na point zingine tatu kupewa Simba bado inaweza kucheza champions league endapo itashinda mechi mbili za mwisho au kucheza shirikisho bila kutegemea mechi mbili za mwisho. Kitakochokosekana ni kombe na pesa endapo ingechukua kombe.Timu mwenyeji ndio inatangaza uwanja na pia inatangaza viingilio na ndio maana leo Ahmed Ally anawaomba Yanga wataje viingilio.
Ila jamaa ni kweli wamesimamia kucha. Hawachezi.
ni rais wa TFFAccording na barua ya mwisho kutoka kwa Utopolo kwenda kwa TFF na bodi ya Ligi ni kuomba kuufanya KMC stadium kuwa uwanja wao wa Nyumban (na sio Chamazi ).
Kiutaratibu kama Yanga wanataka kucheza nje ya KMC bas wanaandika barua kuomba kuhamisha mechi, na kama hawajaandika means uwanja wao ambao unatambulika kama wa nyumban ndio mechi itachezwa.
Kmc stadium.
Ila naona kabisa Siasa itaingilia na hili.
Atatokea waziri kuwaweka vikao simba na Yanga na Rais atapiga simu moja tu.
Mchezo unachezwa.
😂😂 Mtacheza na karia bata nyieNyie Vinye Fc ndo nawaambieni kazeni hvyo hivyo tusione mnakuja na ngonjera mpya...
Makundi ya vikoba nyie...
La mtulize vipaksundi
Na nyie furahini ibaki hivyo tukisema tucheze ya mwaka jana yatajirudiaHao utopolo wakicheza nitawaona Mazuzu sana....
Wasimamie kucha hivyo hivyo
Wakibadili mawazo nitawaita malofa mpk mwisho wa dahari...
Unayo yasema yangefanyika march 8Mechi lazima hii iamue vitu viwili
1. Timu ziiingie uwanjani au
2. Timu moja ipewe ushindi na nyingine kupoteza endapo isipotokea uwanjani. Sheria zitaamua hili nawaeleza