Simba watakutana na Al Masry ya Egypt

Hata nyie mlivyotolewa mlimlaumu injinia kwanini kafukuza kocha kipindi muhimu kama kile, vilabu vya kariakoo lawama lazima.
Yanga mwaka huu hamkushiriki mashindano ya shirikisho kama Simba
Yanga alikuwa kwenye mashindano magumu
 
Hata nyie mlivyotolewa mlimlaumu injinia kwanini kafukuza kocha kipindi muhimu kama kile, vilabu vya kariakoo lawama lazima.
Yanga ilitolewa kwa sababu ya wachezaji kubweteka. Binafsi niliunga mkono kutimuliwa kwa Gamondi kutokana na kushindwa kwake kusimamia nidhamu ya wachezaji nje ya uwanja na hivyo kusababisha viwango vyao kushuka.
 
Hehehehehehehehehehehehehehehehe!!!!!!!
 
Si ndio maana tulitoka makundi hujuma ni kubwa sana tulimtaka singida kwenye kundi letu!
 
Hivi Hawa CAF Huwa wanatutaka Nini haswa Kila robo ikifika kutupanga na timu ngumu ngumu!?. Hakunaga kamsekeleko Kama walikopataga watani!!!!
 
Umeona sina uwezo wa kulipia sio!
Unajua gasho kama wewe hata haujui kama al masry alishawahi kukutana na SIMBA na bado hakumfunga pili al masry ni midtable team tu hawana maajabu yoyote hata kufuzu tu wamefuzu kwa ndondokela.

Al masry hata sio level za asec mimosas,usm alger,berkane na zamalek ndio maana ana misimu kama 8 hivi hajawahi kucheza hata hatua ya makundi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…