Mkuu, hii habari ninayo kabla hata ya matokeo ya jana. Ni kazi zilinibana nikashindwa kuiweka tokea majuzi...Hizi taarifa za tetesi ndio imeletwa kimkakati ili kufuta na kusahaulisha machungu ya taifa stars kufungwa na Congo na hapo hapo kuvuruga maandalizi ya yanga Kwenye mechi ya derby .
Nahitaji kujua mkuu, kujua uhusiano wa mtu katika majadiliano linaleta jambo jema..Kwanini unauliza hivi Mkuu?
Hizo propaganda tu, Yanga wana tabia ya kucheza na akili za mashabiki, ndo maana unaona wakina Meja wakina mchome, kiufupi Aucho hana nafasi Simba, pacome anaweza kucheza ila kwa siasa za simba na yanga hawezi kwenda kamwe. Huyu analeta story tuPacoume nafasi yake kwa sasa Yanga imekua ndogo, ila naona simba waki push zaid wanaweza kumpata, na ndo utakua usajili wenye tija kuliko hata Aucho
Hii habari haijatokea Yanga Mkuu, ni hukohuko Simba.Hizo propaganda tu, Yanga wana tabia ya kucheza na akili za mashabiki, ndo maana unaona wakina Meja wakina mchome, kiufupi Aucho hana nafasi Simba, pacome anaweza kucheza ila kwa siasa za simba na yanga hawezi kwenda kamwe. Huyu analeta story tu
Sikuiz hata wachezaji wanazipenda sana siasa za Simba na Yanga wameshajua ndio chanzo cha kupiga pesa ndefu sana kwa sasa yan kitu ambacho naamini sikuizi, hao mawakala wa wachezaji wanawasiliana sana na mawakala wa uku bongo kwaiyo fursa kama iyo hawawez kuiacha.. Sikuizi sishangai kabisa kuona mchezaji tena kipenz cha timu A kwenda Timu B yan ni kawaida sana.. Uwezekano upo hasa hawa wenye kusaini miaka miwili miwili waliotengeneza jina na ustar kwenye ligi yetu ni kawaida sanaHizo propaganda tu, Yanga wana tabia ya kucheza na akili za mashabiki, ndo maana unaona wakina Meja wakina mchome, kiufupi Aucho hana nafasi Simba, pacome anaweza kucheza ila kwa siasa za simba na yanga hawezi kwenda kamwe. Huyu analeta story tu
kwakuwa wewe ni shabiki wa yanga unadhani pacome na yeye ni shabiki wa yanga kama wewe. Pacome anacheza mpira ili apate pesa na atacheza timu yoyote itakayompa pesa nyingi.Hizo propaganda tu, Yanga wana tabia ya kucheza na akili za mashabiki, ndo maana unaona wakina Meja wakina mchome, kiufupi Aucho hana nafasi Simba, pacome anaweza kucheza ila kwa siasa za simba na yanga hawezi kwenda kamwe. Huyu analeta story tu
Huyu na Diarra, nitalia sana.Siku akiondoka huyu 👇🏽👇🏽👇🏽 ndiyo nitashtuka sana, Imagine mwamba alitumia mechi moja tu akajua Boka ni mali 😀
View attachment 3126548
Serious wapi wewe ni muongo muongoHapana, wako serious kweli wanataka kuwasajili.
Huwezi kumpa rushwa ya pesa na kumpangia nyumba mchezaji kwa mechi moja tu.
Uzuri ni kwamba Young Africans ni timu na sio mchezaji mmoja. Kwenye mechi ya Young Africans vs Mamelodi hawakuwepo Pacome, Aucho, na Yao lakini kila mmoja kawa shahidi jinsi gani Mamelod walivyokutana na upinzani mkubwa kutoka Young Africans. Hivyo ni rahisi kuziba mapengo ya hao wachezaji kama lilivyozibwa pengo la Lomalisa, nina imani na scout ya Yanga italeta chuma zaidi ya hao hivyo wachukueni tu wala chemistry ya Yanga haitovurugika kama ilivyoshindikana kuvurugika baada ya kuondoka Mayele, Feisal, Djuma Shaban na Bangala na benchi zima la ufundi.Pacome na Aucho wakafanye nini Simba?
Yani tumemuacha Chama halafu tuje tumchukue Pacome kweli?
Simba kama itaamua kufanya hivyo ni kwa lengo moja tu kuua chemistry ya Yanga lakini sio kwa mategemeo ya hao wachezaji waje kuwa mchango ndani ya timu.
Huwa nakukubali sana kwenye pande hizi za michezo Mkuu.Uzuri ni kwamba Young Africans ni timu na sio mchezaji mmoja. Kwenye mechi ya Young Africans vs Mamelodi hawakuwepo Pacome, Aucho, na Yao lakini kila mmoja kawa shahidi jinsi gani Mamelod walivyokutana na upinzani mkubwa kutoka Young Africans. Hivyo ni rahisi kuziba mapengo ya hao wachezaji kama lilivyozibwa pengo la Lomalisa, nina imani na scout ya Yanga italeta chuma zaidi ya hao hivyo wachukueni tu wala chemistry ya Yanga haitovurugika kama ilivyoshindikana kuvurugika baada ya kuondoka Mayele, Feisal, Djuma Shaban na Bangala na benchi zima la ufundi.
shukran.Mimi ni mwanamke.