Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuelekea kijijini nikiwa Bariadi mjini 🤣🤣🤣Jamaangu Huwa napata nyingi sana. Nikiwa busy kuzifuatilia zote sio rahisi. Uzi Gani? Nenda hata uka like tu nione
Mkuu, mbona umefika mbali sana?Mtoa mada tushamstukia kitambo ni kolo mkubwa, Huwa anajifanya mwananchi kumbe siyo.
Sasa ni hivi ww mbumbumbu tarehe 19 Kono la nyani linakusu tena
Pakome na Aucho hawawezi kucheza umbumbumbuni
We unaumwa Nini?
Nijifunze wewe kutoshabikia Simba?Tulia ujifunze kwanza, mimi siishabikii Simba.
Kuna uzi uliandika na matunduizi ukizungumzia matatizo ya afya ya akili. Simba na Yanga nazo ni chanzo cha watu kupata matatizo ya afya ya akili.Mkuu, mbona umefika mbali sana?
Mimi naleta habari kama ilivyo, siweki mahaba yangu binafsi.
Asante Mkuu.Kuna uzi uliandika na matunduizi ukizungumzia matatizo ya afya ya akili. Simba na Yanga nazo ni chanzo cha watu kupata matatizo ya afya ya akili.
Mkuu Nifah huna baya wewe umetuhabarisha tu na wala haujaleta uchambuzi. Mwisho wa uzi umetoa source ya taarifa yako. Achana naye huyu anayeki dis
Nitajie wachezaji wako wawili tu wenye uwezo kumzidi Aucho? Au Mzamiru?Pacome na Aucho wakafanye nini Simba?
Yani tumemuacha Chama halafu tuje tumchukue Pacome kweli?
Simba kama itaamua kufanya hivyo ni kwa lengo moja tu kuua chemistry ya Yanga lakini sio kwa mategemeo ya hao wachezaji waje kuwa mchango ndani ya timu.
Pole Waafrica kuumeza ukweli ni ngumu sanaHadi wananchi wenzangu wamenigeuka leo, nimetukanwa kwelikweli.
Mwambie atukome...😊😊😊🤣Mahi, aliyenipa hii habari ni kolo mwenzio. Tena mwanachama hai wa Simba, pole.