Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
- Thread starter
- #141
Kama anaweza ku-afford kununiwa siku nzima ajaribu Babu.Nimependa ulivyohitimisha simulizi yako Mjukuu,
"Kwa msada wa chanzo changu.."
Kwa kuwa Mimi na Mkwe wangu wote ni Wanyama, na hii habari inatunufaisha zaidi sisi mashabiki wa Simba SC, nitamshauri Mkwe wangu akutafutie Jersey ya Simba kama zawadi yako Mjukuu ili uhamie upande wetu 🤗