Simba yamtangaza Barbara Gonzalez kuwa Mtendaji Mkuu wa Club

Nioneshe nilipokiri kwamba mikia ni another level, nimesema nyie ndio mnajimwambafai kwamba simba ni another level lakini mbona unafananisha timu ambazo mnaona hampo level nao moja?

Kwa taarifa yako simba ndio alioiga mabadiliko ya kiuendeshaji wa timu kutoka kwa yanga kama ni kijana wa 2000's ndio nakutaarifu sasa (Rejea vita ya Yanga Kampuni vs Yanga Asili)

Yanga ipo kwenye transition lakini unafananisha na simba sports club company (ambayo dalili zinaonesha ni kampuni hewa)

Ngoja mudi airudishe simba ilipo African Lyon
 
Huyu bibie si nilisikiaga ndo chanzo cha senzo kuondoka
 
Sasa Kwan mashabiki hua tunataka Nini? Timu ishinde na ichukue makombe baaas, timu imilikiwe na familia, ceo awe demu wake watajijua wenyewe ilimradi timu inashinda na makombe inachukua Mimi furaha napata na sijatoa hata sh kumi. Upande wa pili mashabiki wanatembezewa bakuli na hawapati kitu ndio wanatamani turudi tuwe Kama wao.

Yanga mashabiki wanachangia na hawajui hata timu ikipata faida hela zao zitarudishwa ama laaa ilimrad timu yao iwe nzuri ipate matokeo. Tusidanganyane hapa mashabiki wote tunataka matokeo. Na wengi wanaojifanya kumponda mo ni mashabiki wa Yanga wanatamani mo ajiuzuru turudi kwenye kuchangishana waanze kututesa
Sasa hivi ni ngumu kumgombanisha moo na mashabiki wa simba.
Maana timu inafanya vizuri na uongozi upo vizuri.
Ngoja simba waanze kufanya vibaya ndo muanze maneno yenu

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Hajawahi kukopwa yeye kama yeye bali kampuni ya baba yake. Je yeye keshatoa hizo bil 20?
Kwani hiyo kampuni inasimamiwa na nani?, wewe ushachangia hata sahani ya chakula kwa siku kwa mchezaji wa Simba...
Pambana na hali yako kwanza utashikwa na vidonda vya tumbo.
 
Reactions: Tui
My point is on

Section 4 (a)
Kama point yako ni hiyo section unayoisema huu mkataba wote haupo valid kwani percentages zina makosa. Leta mkataba mpya tujadili hiyo pointi yako.
Mlianza mchakato according to you miaka ya 2000!!Na bado mpo kwenye transition!!
Ndio ushahidi wa uwezo wenu wa kufikiri. Mpaka ukamilike itakuwa 2040.
 
Kwa hiyo mbumbumbu mlisainishana mkataba feki [emoji3], ambao hauna uwiano ki %... Soma vizuri uelewe huo mkataba

Kuhusu Yanga kuchelewa it's not a big deal, Yanga haikurupuki, Yanga inataka timu iende kwenye mabadiliko yanayokubalika na kwa maslahi ya Mwananchi sio kwa maslahi ya mhindi na ma PA wake

Lazima simba arudi alipo African Lyon
 
Huu mkataba umeletwa hapa na Utopolo wenzako.
Kufoji ni sera zenu .Mlijaribu kwa Tshishimbi mkatutangazia deal done.Mkajaribu kwa Morisson tunajua kilichotokea.Mkajaribu kuchana na ku paste mkakwama.
Transition miaka zaidi ya 20 and going ni uwezo mdogo wa kutafakari mambo.
 
Kwani kukopwa ni lazima?. Mbona jamaa kalichukulia personal. Si anapata mshahara wa ubunge na mafao?Hana uaminifu wa kukopa hata pikipiki pamoja na kuwa Waziri?Kwani si kuna maduka mengi ya pikipiki?
Halafu anataka tumuamini kwenye hoja zake ambazo sio mpya. Atuwekee hiyo inbox aache majungu.
 
nafasi yake ipo zaidi kwenye management and project invention on how to raise the club financially in matter of creativity
 
Reactions: Tui
Nmejaribu kiwaza nje ya mada kidogo, hv km kweli Kigwa alijarbu kumkopa mo pikipiki ili naye akawapumbazie wapiga kura wake hv mbunge akipotea hata miaka hajafika jimboni mtamlaumu kwel.
 
Reactions: Tui
Rafiki nasikia kuna goli lingine huko. 🤣🤣

Mawifi naona mmeanza kumsakama wifi yenu mpyaa. Sisi mashemeji tunamkaribisha kwa mikono miwili pale Jangwani. Tumeandaa biriani siku ya Ijumaa. Jiangalie sana, utasababisha Kaka ajinyonge, kule Zimababwe Bwana Mkubwa yeye alitaka kukabidhi Nchi kabisa!!
 
Mtu huwa anavuna anachokipanda.Kigwa kaingia choo cha kike.Angeandika proposal nyingine .
Huwezi kujua kama amekopeshwa pikipiki kwingine?
Hivi GSM wanauza au hata kukopesha pikipiki??Just curious!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…