Simba yamtangaza Barbara Gonzalez kuwa Mtendaji Mkuu wa Club

Simba yamtangaza Barbara Gonzalez kuwa Mtendaji Mkuu wa Club

Na 51% za wanachama ziko wap? Hiv Kuna mtu mjinga wa kutoa hela peke yake wakati upande wa pili utaratibu wao wa kununua hisa haujakamilika. Kwa hiyo Kama muda umepita na mchakato haujakamilika yeye ndio adumbukize hela zake zianze kutumika wakati za wanachama hata hawajaanza kununua hisa?
MO mjanja sana, mkataba unasema alipaswa kulipa 20B ndani ya mwezi mmoja mara baada ya kushinda bid

Lakini huu mwaka wa 4 (au zaidi) , akiulizwa kwanini hujalipa mpaka sasa hizo 20B, anajibu jinsi unavyoniona ninashindwa kutoa hiyo 20B [emoji23]

Ndani ya hiyo miaka probably amejiingizia zaidi ya hiyo 20B kwa kutumia brand ya simba

Ukiangalia jezi ya simba kuanzia kwenye kola mpaka kwenye pindo la chini, MO..., MO....., MO...., MO.... [emoji3]View attachment 1560170
 
  • Thanks
Reactions: Tui
CEO nae hajakubali asee anarusha madongo kimwambao mwambao[emoji16][emoji16] hii timu ishakuwa LDIES FREE FC
IMG-20200906-WA0063.jpg
 
  • Thanks
Reactions: amu
Bil 20 zimelipwa ama hazijalipwa?
Jezi za msimu mpya zimeshawasili?
Uwanja wa Kigamboni vipi?Nani anaiongoza Yanga GSM au kamati bubu ya utendaji?
Msola ameacha kazi kwa Mo?
Mishahara atalipa nani?GSM wanadai wao wamesajili tu.
 
Sisi tulio simba asili.....

Binafsi ntarejea tena Simba Sports Club baada ya kipindi hiki cha mpito
 
MO mjanja sana, mkataba unasema alipaswa kulipa 20B ndani ya mwezi mmoja mara baada ya kushinda bid

Lakini huu mwaka wa 4 (au zaidi) , akiulizwa kwanini hujalipa mpaka sasa hizo 20B, anajibu jinsi unavyoniona ninashindwa kutoa hiyo 20B [emoji23]

Ndani ya hiyo miaka probably amejiingizia zaidi ya hiyo 20B kwa kutumia brand ya simba

Ukiangalia jezi ya simba kuanzia kwenye kola mpaka kwenye pindo la chini, MO..., MO....., MO...., MO.... [emoji3]View attachment 1560170

Will be allotted 50% of the share capital!

Hii naona kama ni ya zamani, I expected to see 49%.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Atoe hizo bilioni 20 ili iweje?.
Ni msaaada?
AU ni uwekezaji?.
Zitarudi vipi?
Umeona mkataba hapo juu!? Pesa aliyoahidi alipaswa kuwa ameitoa ndani ya mwezi mmoja baada ya kuandikiwa na klabu kwamba ameshinda bid yake. Vipi au notification bado hajapewa!?

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Vipi rufaa ya Morrison mmejibiwa?Mmebakia na chuki za kimaskini na husda. Hatutoki kwenye reli. Mkiingiza pua safari hii ni 6.
Tena kwa mabeki wa pembeni Kibwana na Mustafa. I cannot wait kwaya za hatumtaki mchezaji zianze
 
Umeona mkataba hapo juu!? Pesa aliyoahidi alipaswa kuwa ameitoa ndani ya mwezi mmoja baada ya kuandikiwa na klabu kwamba ameshinda bid yake. Vipi au notification bado hajapewa!?
Rudia kusoma au mpelekee Bernard Morrison akusomee. Huoni kwamba huo sio mkataba valid?Unaonyesha 50% to 50%.
Ndio mkataba wa Simba unavyoanisha?
Sikulaumu masuala ya mkataba yanawapiga chenga sana.
Nenda kwa wakili wa kujitegemea Morrison akusomee.
 
Kwa miaka karibu 30 Simba haijapata mdhamini wa aina ya Mo.

Simba haijawahi kuwa bora kwa kipindi kirefu kama ilivyo sasa hivi. Ligi inaanza kukiwa na uhakika wa kuichukua kwa 89%.

Washabiki hizo 20b hata zikiwekwa bado faida yetu ni ushindi, kama timu haishindi itakuwa kazi bure.

Hizi kelele hazitakaa ziishe as long as wapinzani wananyanyasika.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Back
Top Bottom