Na 51% za wanachama ziko wap? Hiv Kuna mtu mjinga wa kutoa hela peke yake wakati upande wa pili utaratibu wao wa kununua hisa haujakamilika. Kwa hiyo Kama muda umepita na mchakato haujakamilika yeye ndio adumbukize hela zake zianze kutumika wakati za wanachama hata hawajaanza kununua hisa?
MO mjanja sana, mkataba unasema alipaswa kulipa 20B ndani ya mwezi mmoja mara baada ya kushinda bid
Lakini huu mwaka wa 4 (au zaidi) , akiulizwa kwanini hujalipa mpaka sasa hizo 20B, anajibu jinsi unavyoniona ninashindwa kutoa hiyo 20B [emoji23]
Ndani ya hiyo miaka probably amejiingizia zaidi ya hiyo 20B kwa kutumia brand ya simba
Ukiangalia jezi ya simba kuanzia kwenye kola mpaka kwenye pindo la chini, MO..., MO....., MO...., MO.... [emoji3]View attachment 1560170