Mkuu, huyo jamaa ni Utopolo wala usihangaike nae.hata akiwapa watoto zake na wake zake ivyo vyeo kama timu inapata mafanikio kuna ubaya gani???kati ya kipindi ambacho alikwepo na kipindi ambacho hakwepo ni kipindi kipi ambacho simba imepata mafanikio...???ipi ni shida kwako haswa.. mbona izo timu ambazo haziendeshwi kiundugu unaousema wewe hazina mafanikio yoyote???
MUDA UTAAMUALabda ungeanza na majukumu ya CEO wa Simba SC Co Ltd, halafu tuone kama uanamichezo ni moja ya majukumu yake. Kumbuka Senzo alikasirika baada ya kuitwa kwenye board na kuulizwa masuala ya fedha (aliulizwa amepunguza vipi gharama za kampuni), sio ya michezo, akatimka
SHUKRANI KWA SHULE HII BILA ADAMkuu yani umeshindwa hata Kugoogle ukajua tofauti ya CEO na Sporting Director? Really?
Kumbe wewe ni sawa na wale Mashabiki wa Manchester United wanaosema Ed Woodwards hajui mpira.
Kuna uhusiano gani wa CEO na mpira?
CEO yupo kibiashara tu kukuza Brand na Income ya Timu/Kampuni/Taasisi. Wala hahitajiki kujua mpira kwani anaweza kuajiriwa kwenye Taasisi ya aina yoyote iwe ya mpira au isiyokuwa mpira. Wala hahusiki na kukuza Performance ya Timu uwanjani.
Sporting Director ndiyo kazi yake kubwa ni kuinua performance ya Timu na kuleta mafanikio ya uwanjani, Hivyo ni Muhimu kuujua mpira hata wa kusoma Darasani iwapo hakuwahi kucheza. Huyu hahusiki na kuiingizia Timu mapato.
- Sporting Director: Timi inaweza kuingiza Mkwanja na Faida ya kitosha kwenye mapato yake! Lakini kama uwanjani inaboronga basi ataishia kufukuzwa.
- CEO: Timu inaweza kuboronga uwanjani mpaka ikashuka daraja, Lakini kama imekuwa kibiashara na kudouble Faida basi huyu atabakia na kuongezewa mkataba mnono.
watu mnakuwa wajinga. mpaka muhasibu mtahitaji awe mwanamichezoNimesoma CV ya huyo CEO mpya wa Simba sc, kwa kweli hapo tumepigwa 3 bila wana Simba wenzangu. Huyo mtu sio mwanamichezo wala hajawahi fanya kazi yoyote ya kimichezo. Mwamed ametuzidi maarifa sisi wenye hisa hewa 51%.
PIA WAWEZA SOMA HAPA CHINI KUONGEZEA TAARIFA ZA HUYO MREMBO
View attachment 1559522
Barbara Gonzalez
CEO,
MO DEWJI FOUNDATION
Barbara Gonzalez is the head of the Mo Dewji Foundation, a registered charity founded by Africaβs youngest billionaire, Mohammed Dewji. The foundation is dedicated to enriching the lives and alleviating Tanzanian citizens from poverty and hardship through health, education and community development. She is responsible for developing strategies to address some of the worldβs most challenging inequities and leading all the foundationβs efforts to promote equity and sustainable livelihoods for all Tanzanians.
Gonzalez serves on the advisory board for Young African Leaders Initiative (YALI) Regional Leadership Center East Africa. YALI was launched by former President of the United States Barack Obama as a signature effort to invest in the next generation of African leaders.
Prior to the foundation, Gonzalez was consultant at Deloitte Consulting Limited Tanzania. She was involved in projects for public sector clients including USAID, UNICEF, World Bank and Plan International.
Gonzalez holds a masterβs degree in development management from the London School of Economics and Political Science, and a bachelorβs degree with honors in economics and political science from Manhattanville College in Purchase, New York.
If wishes were horses beggars would ride on them.Keep dreaming. Manyani kila siku wamekuwa doom sayers. Kila siku kuishi kwa uzushi na husda.Sasa ukweli umedhihirika! Kuna shabiki mmoja wa mbumbumbu fc aliwahi kutoa angalizo humu ya kwamba mdhamini mkuu anashikiliwa masikio na huyo bidada!!
Na alimtabiria pia kupewa hiyo nafasi siku za usoni! Sasa yametimia. Muda si mrefu mbumbumbu fc wataanza tu kutibuana. Hasa kwa wale watakao shindwa kumtii bosi mpya kwa namna yoyote ile.
Nchi imejaa wajinga wengi sana kibaya zaidi hawajui kuwa hawajui kitu.Mkuu yani umeshindwa hata Kugoogle ukajua tofauti ya CEO na Sporting Director? Really?
Kumbe wewe ni sawa na wale Mashabiki wa Manchester United wanaosema Ed Woodwards hajui mpira.
Kuna uhusiano gani wa CEO na mpira?
CEO yupo kibiashara tu kukuza Brand na Income ya Timu/Kampuni/Taasisi. Wala hahitajiki kujua mpira kwani anaweza kuajiriwa kwenye Taasisi ya aina yoyote iwe ya mpira au isiyokuwa mpira. Wala hahusiki na kukuza Performance ya Timu uwanjani.
Sporting Director ndiyo kazi yake kubwa ni kuinua performance ya Timu na kuleta mafanikio ya uwanjani, Hivyo ni Muhimu kuujua mpira hata wa kusoma Darasani iwapo hakuwahi kucheza. Huyu hahusiki na kuiingizia Timu mapato.
- Sporting Director: Timi inaweza kuingiza Mkwanja na Faida ya kitosha kwenye mapato yake! Lakini kama uwanjani inaboronga basi ataishia kufukuzwa.
- CEO: Timu inaweza kuboronga uwanjani mpaka ikashuka daraja, Lakini kama imekuwa kibiashara na kudouble Faida basi huyu atabakia na kuongezewa mkataba mnono.
Nyinyi mmeweka hata shilling tano ?Ndiyo maana ameamua kumpa ulaji kila kona hata asipositahili. Ataisoma namba mashabiki tukichachamaa pindi timu itakapokuwa inafanya vibaya. Kuna vitu vinafikirisha, kwa nini viongozi walio upande wa mashabiki kila siku wanatenguliwa na kuwekwa awapendao tu?, tujipe muda kumuondoa Mwamed huko mbeleni maana amezidi ujanja ujanja hata zile 20B ni zaidi ya miaka mitatu kila siku chenga.
Looh kweliii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][/QUOTE]Jibuni basi kama mmeweka hata hiyo shilling tano ?Nyinyi mmeweka hata shilling tano ?
View attachment 1559595
Menejimenti ya Klabu ya Simba kupitia kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, Mohamed Dewji imemtangaza Barbara Gonzalez kama Mtendaji Mkuu wa klabu hiyo
Barbara anachukua nafasi ya Senzo Masingiza aliyetangaza kujiuzulu nafasi ya Utendaji Mkuu wa Simba Simba SC na kuhamia Yanga SC
[emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]ππππππ πππππ π πππ,πππ πππππππ πππππ[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mimi nimehama simba kwa ajili ya ujinga wa huyu Mohamed mtu kwanza anaendesha Project za Familia leo ndio anakuwa most influencer katika Club hizo pesa anazodai anatoa ni kuwa nae anafanya matangazo kupitia simba, nilivo ona Mohamed amekuja na Tangazo kuwa Barbara kapoteza iPhones mbili Taifa siku ya Simba day kwanza nilihisi kuwa ni usanii wa kutafutiwa followers wengi kwenye social media mana ni Mo mwenyewe ndio ali announce na kumquote bidada sasa nilivo ona tu Mo kamtangaza nkajua tayari huyu anandaliwa postion kubwa sana Simba mana amekuwa assistance wa Mo na ana lead iyo foundation ya Mo, Kwa kweli simba waangalie sana huyu Mhindi ata wa drag to the grave akiona wako hoi atawatema, Mtu sio Majority shareholder ila ana influence kubwa ivi kwa nini, Mo adhibitiwe na Ajue simba sio mali yake mambo yakuleta ukoo wake ndani ya simba hatutaki ni soon mtamsikia na Fatema Dewji kapewa cheo apo simba haswa upande wa Marketing its a big shame.
πΌπππππ£π πππππππ πππππππππ ππππ πππππ ππ πππ? π±ππ ππ πππππππππ π πππ ππ£πMkuu yani umeshindwa hata Kugoogle ukajua tofauti ya CEO na Sporting Director? Really?
Kumbe wewe ni sawa na wale Mashabiki wa Manchester United wanaosema Ed Woodwards hajui mpira.
Kuna uhusiano gani wa CEO na mpira?
CEO yupo kibiashara tu kukuza Brand na Income ya Timu/Kampuni/Taasisi. Wala hahitajiki kujua mpira kwani anaweza kuajiriwa kwenye Taasisi ya aina yoyote iwe ya mpira au isiyokuwa mpira. Wala hahusiki na kukuza Performance ya Timu uwanjani.
Sporting Director ndiyo kazi yake kubwa ni kuinua performance ya Timu na kuleta mafanikio ya uwanjani, Hivyo ni Muhimu kuujua mpira hata wa kusoma Darasani iwapo hakuwahi kucheza. Huyu hahusiki na kuiingizia Timu mapato.
- Sporting Director: Timi inaweza kuingiza Mkwanja na Faida ya kitosha kwenye mapato yake! Lakini kama uwanjani inaboronga basi ataishia kufukuzwa.
- CEO: Timu inaweza kuboronga uwanjani mpaka ikashuka daraja, Lakini kama imekuwa kibiashara na kudouble Faida basi huyu atabakia na kuongezewa mkataba mnono.
ππππππππππππ πππππ π π ππ ππ πππππππ ππππππ πππππ π ππ, π πππππ£π πππ’π ππππ£π π πππππππππππ π πππππππππ£π π πππ πππππ π’πππ?Nchi imejaa wajinga wengi sana kibaya zaidi hawajui kuwa hawajui kitu.
Kazi yao kubwa ni kupiga majungu tu na kuzalisha michepuko.
Mtu kuwa CEO kwenye football Club siyo lazima awe mtu wa mpira.
Kwani Saad Kawemba wakati anakuwa CEO wa AZAM alikuwa ana historia ya kuongoza football club popote ?
Au Popat wa sasa pale AZAM ana historia ya kuongoza football club yoyote ?
CEO kazi yake kubwa ni corporate management of the club simba waende mbali zaidi wateue na Sporting Director tena Walete Mzungu kuajiri mswahili ni kusogeza wapiga majungu tu.
Unaweza ukamwajiri leo kesho anaanza rumours kuwa unatafuna wafanya usafi wa club.
Ni mhindiHebu tuwekee picha yake kisha ujazie nyama kidogo uzi wako juu ya huyo Barbara Gonzalez