Simba yamtangaza Barbara Gonzalez kuwa Mtendaji Mkuu wa Club

Mkuu usilalamike kabla hujaona utendaji wake huyo Barbra!
 
Sawa Mkuu ingawa ni vizuri timu ikaendeshwa kitaasisi kuliko kifamilia na kindugu. Maana likitokea la kutokea mtakuwa hamna mahala pa kushika.
 
Chorii chorii hata bil 20 hajatoa tayari ni mfalme

Poor kigwa kageuzwa kongolo na kandimu bila kusahau pilipili walaji wanamfakamia,na kusahau barbara kapita bila mchakato wowote.

Nasubiria zamu ya manara kunyooshwa

#barbarafc
 
Na ndio mashabiki wengi imefanya muwe upande wake eti , mana mnasema nyie shida yenu ushindi tu hayo mengine hayawahusu. Lol
Sasa zaidi ya ushindi tutake nini tena Shadeeya, mikopo ya pikipiki?πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

TAHADHARI: Ndugu wakigombana shika jembe
ukalime

Kipigokwayangakikopalepale
 
Kuna watu wapuuzi sana... Kigwangala jamaa nae kumbe kichwani kweupe tuu yani alivyomind kuhusu yule CEO utadhani ana hisaa Simba lakini MO akajua tatizo sio UCEO tatizo ni PIKIPIKI...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mfano; Manara akitaka kuwasiliana na huyo Barbra inakuwaje!
 
Wwe ndio unauelewa mdogo sana wa mambo
Usi generalise kila kitu
 
Kuna watu wapuuzi sana... Kigwangala jamaa nae kumbe kichwani kweupe tuu yani alivyomind kuhusu yule CEO utadhani ana hisaa Simba lakini MO akajua tatizo sio UCEO tatizo ni PIKIPIKI...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahah Kigwa hela zake za mafao ya ubunge amegoma kuzinunulia Pikipiki za wajumbe lkn za Hela za MO ndio zinafaa kwa ajili ya Pikipiki za wajumbe.

Kweli huku ndiko to 'think out of the box' anayosemaga aisee.
 
Yaani huyo kawekwa hapo zile b20 zikija azikontroo wanasimba waziskie zipo zinazunguka lakini wasizione, yaani kwa timu mo anayopanga kwenye uongozi hizo ela pia anaweza kuzifisadi kimya kimya.
 
Chorii chorii hata bil 20 hajatoa tayari ni mfalme

Poor kigwa kageuzwa kongolo na kandimu bila kusahau pilipili walaji wanamfakamia,na kusahau barbara kapita bila mchakato wowote.

Nasubiria zamu ya manara kunyooshwa

#barbarafc
Natamani niisikilize hiyo Interview ya huko wasafi ambayo Chorii chorii anasema majibu ya 20b ndo yanapatikana huko. πŸ˜‚

Aisee!! Ropo ropo kazi anayo kulinda ugali wake.

#barbara Fc.
 
Hahah Kigwa hela zake za mafao ya ubunge amegoma kuzinunulia Pikipiki za wajumbe lkn za Hela za MO ndio zinafaa kwa ajili ya Pikipiki za wajumbe.

Kweli huku ndiko to 'think out of the box' anayosemaga aisee.
Fala sana yule jamaaa... Anataka kuleta Siasa Simbaa apambane na watu wake wa Nzega huko kazi kuwahonga vizee vya watu Fonex ili azidi kula hela za ubunge shwain..
 
Yanga hadi mikataba ya wachezaji anakaa nayo GSM..
LAKINI HAUWEZI KUONA WAKIHOJI.
Wanasubiri mambo ya simba waanze kupiga kelele.
Kuna watu wapuuzi sana... Kigwangala jamaa nae kumbe kichwani kweupe tuu yani alivyomind kuhusu yule CEO utadhani ana hisaa Simba lakini MO akajua tatizo sio UCEO tatizo ni PIKIPIKI...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…