Simba yamtangaza Barbara Gonzalez kuwa Mtendaji Mkuu wa Club

Simba yamtangaza Barbara Gonzalez kuwa Mtendaji Mkuu wa Club

Yanga hadi mikataba ya wachezaji anakaa nayo GSM..
LAKINI HAUWEZI KUONA WAKIHOJI.
Wanasubiri mambo ya simba waanze kupiga kelele.

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Leo tumewashika penyewe Mtani hivyo semeni weeee sisi tunabakia ule upande wa Kigwa. 😎😎

#Majibundotunataka.

wayihamuhoji?.
Ndokusemamnatuigaama?
 
Mbwembwe za uwanja hadi wa leo kimyaa.

Hio interview ukute keshamwambia domo aifiche. Yaan masuala nyeti ya club unaenda yasemea kwenye media ya udaku daah choriii smart sana.

Wakizidi kuhoji sana wataambiwa ile bill ilianza tumika kukodi usafiriwa domo simba day na uwanja haukujaa kama wananchi walivyoujaza.

#Barbarafc
#secretarykapandacheo
Natamani niisikilize hiyo Interview ya huko wasafi ambayo Chorii chorii anasema majibu ya 20b ndo yanapatikana huko. 😂

Aisee!! Ropo ropo kazi anayo kulinda ugali wake.

#barbara Fc.
 
Mlivyomchukua senzo mkadhani mmetukomoa?.
tumeweka chuma kipyaa mtoto mzuri kabisa na nina mpango wa kujiweka pale niwe baba ceo.
Leo tumewashika penyewe Mtani hivyo semeni weeee sisi tunabakia ule upande wa Kigwa. [emoji41][emoji41]

#Majibundotunataka.

wayihamuhoji?.
Ndokusemamnatuigaama?

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Kabla ya kuanza kuhoji mambo ya simba.
Mnatakiwa muanze kuhoji mambo ya timu yenu yatakayo waletea maendeleo.
Sasa hivi kuwahoji GSM kuhusu AHADI yao ya kujengaa uwanja ndo jambo la msingi

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Mtani kwa leo mtusamehe kwa kweli. Hayo tutajadili yakieleweka haya. 😎

Hatuezi waacha ndugu zetu mpotee.
 
Huyo Gonzalez Kama hajasoma vyuo Kama UDOM...TEKU..JORDAN..RUCO...SEKUKO..NA KANGE sisi hatumuamini kabisa katika utendaji wake. ( Utopolo et all 1960)
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Mlivyomchukua senzo mkadhani mmetukomoa?.
tumeweka chuma kipyaa mtoto mzuri kabisa na nina mpango wa kujiweka pale niwe baba ceo.

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Hizi mambo za kukomoana tuziache tu Mtani kwani hakukuwa na jinsi ya Senzo kubakia ikiwa alishahitilafiana na huyu Barbara.

Nimecheka hivyo Mtani watamani uwe Baba CEO. Lol.
 
Back
Top Bottom