kidunula1
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 6,305
- 6,341
Ha ha ha haMpaka mnyooke si mnajifanya mna macho lakini hamuoni yaani mkija kushituka timu imebadilishwa na jina inaitwa Mo Football Club. [emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha haMpaka mnyooke si mnajifanya mna macho lakini hamuoni yaani mkija kushituka timu imebadilishwa na jina inaitwa Mo Football Club. [emoji23][emoji23][emoji23]
Kunyanduana FCShe is very proffesional ...kongole kwa Simba, vyura endeleeni kubwabwaja bwawani
Wanasemaga maji hayapandi Mlima rafiki na pale ni watu wa upande moja wanaoumana hivyo si ajabu anaogopa mwisho wa siku asikose pa kushika. 😀😁😁😁😁😁 kigwa kashika pabaya,itakua la tatu
Hapa najiuliza mbona sioni manara akijibu au ndo kusema haelewi kinachoendelea?
#Barbarafc
#secretaryakipandacheoanakuaCEO
Ebu soma kwanza majukumu yake.
Yanga mnaona wivu tuna ceo mrembo.
Nyie hamnaa[emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 1560159View attachment 1560160View attachment 1560161
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Ana kibriHivi haka kahindi kumbe Hata uwezo Wa kufikiri ni Mdogo hivi!? Ishu za mokopo kwenye taasisi kubwa ni siri lakini yeye anawaambia watu. Angekuwa ametafuta huo utajiri kwa jasho lake asingekuwa hivyo
Kwa staili hii kile chama cha kidumu kitaendelea kututawala. CEO yoyote lazima awe na uzoefu wa kazi anayoenda kuifanya. Huwezi mpa accountant kazi ya masijala hospitali huku ukisingizia haihusian na masuala ya tiba
Sasa barbara atatatuaje changamoto za soka wakati soka halifahamu,kambi atazipataje nzuri kwa usalama wa wachezaji wakati hana uzoefu hapo au ndo kusema nae atatumia wa chini yake gharama juu ya gharama
Hivi haka kahindi kumbe Hata uwezo Wa kufikiri ni Mdogo hivi!? Ishu za mokopo kwenye taasisi kubwa ni siri lakini yeye anawaambia watu. Angekuwa ametafuta huo utajiri kwa jasho lake asingekuwa hivyo
MO mjanja sana, mkataba unasema alipaswa kulipa 20B ndani ya mwezi mmoja mara baada ya kushinda bid
Lakini huu mwaka wa 4 (au zaidi) , akiulizwa kwanini hujalipa mpaka sasa hizo 20B, anajibu jinsi unavyoniona ninashindwa kutoa hiyo 20B [emoji23]
Ndani ya hiyo miaka probably amejiingizia zaidi ya hiyo 20B kwa kutumia brand ya simba
Ukiangalia jezi ya simba kuanzia kwenye kola mpaka kwenye pindo la chini, MO..., MO....., MO...., MO.... [emoji3]View attachment 1560170
Umepaniki MkuuUnaleta mkataba unaosema 50% kwa 50% .Je ndio mkataba unaotumika kwenye mchakato?
Isije ikawa umefoji kwani kwa kufoji hamjambo. Does Morrison deal ring a bell?
Kweli??Soma mkataba aliouweka kama source. Au lugha iliyotumika ni changamoto?Umepaniki Mkuu
Wapi ameambiwa aweke bilioni 20 kwenye account ya simba ndani ya mwezi mmoja?.
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Kama kingereza kimesumbua tafuta mtu akutafsirie mkuu, pamoja na miduara iliyowekwa unataka nikusomee na kukutafsiria
Nawakumbusha tu
Huyu mhindi, aliochukua Singida ikamshinda... akabwaga manyanga
Huyu huyu mhindi akaichukua African Lyon ikamshinda... akaitelekeza
Sasa yupo simba...
Ikumbukwe pia, kila kiongozi wa simba (mwakilishi wa Wanachama wanaodaiwa kumiliki 51%) anaposimamia maslahi ya Wanachama kwa nguvu zote, huondolewa na MO, mhanga wa hivi karibuni ni Nkwabi
Unawajua wahanga walioipinga GSM kwenye kamati ya utendaji ya Utopolo? Je kamati hiyo bado ipo?.Ina kazi gani?GSM wamehodhi kazi zote.Nawakumbusha tu
Huyu mhindi, aliochukua Singida ikamshinda... akabwaga manyanga
Huyu huyu mhindi akaichukua African Lyon ikamshinda... akaitelekeza
Sasa yupo simba...
Ikumbukwe pia, kila kiongozi wa simba (mwakilishi wa Wanachama wanaodaiwa kumiliki 51%) anaposimamia maslahi ya Wanachama kwa nguvu zote, huondolewa na MO, mhanga wa hivi karibuni ni Nkwabi
Kwani ikiwa imeuzwa wewe shida yako nini?Timu ishauzwa hii