Simba yamtangaza Barbara Gonzalez kuwa Mtendaji Mkuu wa Club

😁😁😁😁😁 kigwa kashika pabaya,itakua la tatu

Hapa najiuliza mbona sioni manara akijibu au ndo kusema haelewi kinachoendelea?

#Barbarafc
#secretaryakipandacheoanakuaCEO
Wanasemaga maji hayapandi Mlima rafiki na pale ni watu wa upande moja wanaoumana hivyo si ajabu anaogopa mwisho wa siku asikose pa kushika. 😀

#Barbara Fc.
 
Kwa staili hii kile chama cha kidumu kitaendelea kututawala. CEO yoyote lazima awe na uzoefu wa kazi anayoenda kuifanya. Huwezi mpa accountant kazi ya masijala hospitali huku ukisingizia haihusian na masuala ya tiba

Sasa barbara atatatuaje changamoto za soka wakati soka halifahamu,kambi atazipataje nzuri kwa usalama wa wachezaji wakati hana uzoefu hapo au ndo kusema nae atatumia wa chini yake gharama juu ya gharama
Ebu soma kwanza majukumu yake.
Yanga mnaona wivu tuna ceo mrembo.
Nyie hamnaa[emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 1560159View attachment 1560160View attachment 1560161

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Hivi haka kahindi kumbe Hata uwezo Wa kufikiri ni Mdogo hivi!? Ishu za mokopo kwenye taasisi kubwa ni siri lakini yeye anawaambia watu. Angekuwa ametafuta huo utajiri kwa jasho lake asingekuwa hivyo
 
Ana kibri
 
Ndugu yule sio mchezaji wala KOCHA.
ELEWENI KWANZA MAJUKUMU YA CEO..
mambo ya uwanjani hayamuhusu
Kwa staili hii kile chama cha kidumu kitaendelea kututawala. CEO yoyote lazima awe na uzoefu wa kazi anayoenda kuifanya. Huwezi mpa accountant kazi ya masijala hospitali huku ukisingizia haihusian na masuala ya tiba

Sasa barbara atatatuaje changamoto za soka wakati soka halifahamu,kambi atazipataje nzuri kwa usalama wa wachezaji wakati hana uzoefu hapo au ndo kusema nae atatumia wa chini yake gharama juu ya gharama

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
MO mjanja sana, mkataba unasema alipaswa kulipa 20B ndani ya mwezi mmoja mara baada ya kushinda bid

Lakini huu mwaka wa 4 (au zaidi) , akiulizwa kwanini hujalipa mpaka sasa hizo 20B, anajibu jinsi unavyoniona ninashindwa kutoa hiyo 20B [emoji23]

Ndani ya hiyo miaka probably amejiingizia zaidi ya hiyo 20B kwa kutumia brand ya simba

Ukiangalia jezi ya simba kuanzia kwenye kola mpaka kwenye pindo la chini, MO..., MO....., MO...., MO.... [emoji3]
IMG_20200906_092611.jpeg
 
Kama alikataliwa kukopa pikipiki ndo hahoji upumbavu?..
Hivi haka kahindi kumbe Hata uwezo Wa kufikiri ni Mdogo hivi!? Ishu za mokopo kwenye taasisi kubwa ni siri lakini yeye anawaambia watu. Angekuwa ametafuta huo utajiri kwa jasho lake asingekuwa hivyo

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Utopolo wamekuwa watu wa kiki.Alipoletwa Sven kelele zilikuwa nyingi ungedhani kocha wao. Wakamwita kishingo. Mwanaume kawanyamazisha kwa kutwaa ubingwa na FA tena kwa kipigo cha mbwa au nyani koko .4 G.Kipigo kikubwa cha kwanza tokea 2012 mtungi.
Uwanjani Utopolo wanajua hawatuwezi hivyo wamegeuka manyani kudakia kiki na udaku.
Hivi Senzo alipitia mchakato upi?Kazi yake nini?Kwa sababu hata kusaini alisaini sebuleni kwa msomali.
Wanahaha kutafuta udaku msimu ukianza vipigo vikirejea wataanza kwaya za hatumtaki mchezaji. Safari sijui nani atapewa heshima hiyo.
GSM nataraji wataendelea kulipa kodi ili wasibadili jina tena.
Jezi za msimu mpya zimeshawasili?Au meli zimezuiliwa kwa sababu ya COVID 19.
Karne hii watu wamembeba msomali kwenye machela unategemea uwezo wao wa kufikiri uwe tofauti?
 
Wapi ameambiwa aweke bilioni 20 kwenye account ya simba ndani ya mwezi mmoja?.
MO mjanja sana, mkataba unasema alipaswa kulipa 20B ndani ya mwezi mmoja mara baada ya kushinda bid

Lakini huu mwaka wa 4 (au zaidi) , akiulizwa kwanini hujalipa mpaka sasa hizo 20B, anajibu jinsi unavyoniona ninashindwa kutoa hiyo 20B [emoji23]

Ndani ya hiyo miaka probably amejiingizia zaidi ya hiyo 20B kwa kutumia brand ya simba

Ukiangalia jezi ya simba kuanzia kwenye kola mpaka kwenye pindo la chini, MO..., MO....., MO...., MO.... [emoji3]View attachment 1560170

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Unaleta mkataba unaosema 50% kwa 50% .Je ndio mkataba unaotumika kwenye mchakato?
Isije ikawa umefoji kwani kwa kufoji hamjambo. Does Morrison deal ring a bell?
 
Umepaniki Mkuu
 
Nawakumbusha tu

Huyu mhindi, aliochukua Singida ikamshinda... akabwaga manyanga

Huyu huyu mhindi akaichukua African Lyon ikamshinda... akaitelekeza

Sasa yupo simba...

Ikumbukwe pia, kila kiongozi wa simba (mwakilishi wa Wanachama wanaodaiwa kumiliki 51%) anaposimamia maslahi ya Wanachama kwa nguvu zote, huondolewa na MO, mhanga wa hivi karibuni ni Nkwabi
 
Simba wana maslahi gani?

Unawajua wahanga walioipinga GSM kwenye kamati ya utendaji ya Utopolo? Je kamati hiyo bado ipo?.Ina kazi gani?GSM wamehodhi kazi zote.
Mtaalamu Shija alijiuzulu kwa sababu ipi?
 
Back
Top Bottom